The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wao waache wakomae na Nairoba pekee cc tunaifumua nchi nzima na rais alishasema tukishafika kwny middle income economy bac ata maisha ya watu yaonekane kweli yanafanana na middle income na co middle income ya kwny makaratasi tu, infact tumedhamiria kuwa nchi ya mfano Afrika