Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,918
- 107,379
Those are real kenyans,hawa wa huku jamiiforums wako kwa denial stage,lakini ukienda kenya kwenyewe things are so different,they,them kenyans love usAfu wakenya wa huku wanajifanya hawaelewi. Wenzao wanalia kbsa [emoji23][emoji1421]
Sema hii ngoma ya Nandy na Harmonize ndo kali kuliko zote
View attachment 1263569
View attachment 1263570
View attachment 1263571
LOL they can't hide it
Kwhyo mkuu ilkua unasoma mi comments yote hyo[emoji23][emoji23]Toka nimejiunga na JF sijawaifika mwisho wa hii thread leo nimekaza hadi nimepafikia
Mipasho.comWapunguzieni dose hawa majirani zetu maana hali yao sio nzuri kabisa. Na vile wakiona Tz mambo yanavyokwenda ndio wanachanganyikiwa kabisa na kukosa matumaini.
Tuwaombee kwa muweza wa yote ya ulimwengu huu awavushe uchaguzi ujao maana hali sio shwari. Madeni, rushwa n.k kule Mombasa wamelaza Mtu hosii kwa figisu hizi hizi...japo nae alijaribu kujimwambafai na kumuita mzee obasanjo hadi kwa bed hosii Mombasa but bado mambo si shwari.
Huko south tena mradi wao wa makaa ya mawe umetupwa kabisa hivyo ni kilio na maumivu baada ya kutoswa na AfDB. Bado US na China wanawachezea kwenye hiyo express way...dah jumlisha Chinese class One to no where...kwa kweli it's a total failed state.
UK alikuta Deni ni trillion 1.3, hadi Sasa Deni limefika trillion 6! Cha maana alichofanya hakuna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jifurahishe jomba[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Heheeeee..lamu port tulikopa china shingapiBado kuna deni la mchina kwenye another white elephant project inaitwa lamu port [emoji38][emoji38] yani wanakumbilia kuingia kwenye mikopo mikubwq sana wanasahau ethiopia kashaekeza billions of money djebout kuboresha transportation in and out ethiopia
Appartments kibao plus viji tower vya kuhesabika
Hawajui chochote hao kinachoendelea tanzania...wanafanya kumskia kwenye medias tu wakati anapambwa...Afu wakenya wa huku wanajifanya hawaelewi. Wenzao wanalia kbsa [emoji23][emoji1421]
Sema hii ngoma ya Nandy na Harmonize ndo kali kuliko zote
View attachment 1263569
View attachment 1263570
View attachment 1263571
Mhindi piga kaziKilimanjaro VII [emoji91]
Toa ukabila hapa nyambisssMhindi piga kazi
Kaa pembeni.Toa ukabila hapa nyambisss
Ukabila na ubaguzi bakisheni huko huko.Kaa pembeni.
Km mmeshindwa wacha jamaa apige hela bana..
looks too old