Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maybe huko bongo kwa sababu naona mnaweka hadi cables zisizokuwa na maana wowote
Izo ziko zaidi kwenye vituo vikubwa vya kushushia abiria ili wasigongwe na magari au sehemu zenye stipslope kama ya pale bondeni mbezi...nothing is special abt foot bridge
 
Hizo zimeletwa nyingi sana hapa. Pekua kurasa za nyuma utaziona. Thika road stretch alone has close to 20 of them
Kama hii ime-cost $2.7mln!

tn_in-centralrly-new-footbridge-elphinstonerd.jpg

Izo ziko zaidi kwenye vituo vikubwa vya kushushia abiria ili wasigongwe na magari au sehemu zenye stipslope kama ya pale bondeni mbezi...nothing is special abt foot bridge
Kwani lengo la footbridge ni nini kama sio kuzuia ajali kama vile umesema. Ama Unaposema there's nothing special about them unamaanisha nini
 
Sio kila mahali unaweka ,zebra cross zinatosha tu baadhi ya sehemu
 
😂 😂 😂 Are those cables part of structural engineering ama ni madoido tu?
Zinaweza kuwa baadhi ni madoido, kwamba zipo cables zinazo cancel each other out (tension wise). Madaraja mengi ya kisasa yapo hivyo.
 
Sio kila mahali unaweka ,zebra cross zinatosha tu baadhi ya sehemu
You can't put zebra crossing on a busy highway of more than four lanes. That's a death trap. In Nairobi, footbridges are erected on busy highways, not just any other road.
 
Zinaweza kuwa baadhi ni madoido, kwamba zipo cables zinazo cancel each other out (tension wise). Madaraja mengi ya kisasa yapo hivyo.
As long as hiyo pillar hapo katikati ya barabara iko, those cables play no role at all coz they are not suporting the bridge deck. It's just a beatification thing but there's nothing wrong with that
 
Most of your foot bridges ziko thika road ?
 
No, on all major roads. Mombasa road, Outering road, Jogoo road, Thika road, Lang'ata road, Ngong road.... The list is endless. But Thika road has many footbridges than any other considering it's length (50 kms) and size (ten lanes in some sections minus service lanes)
 
Back
Top Bottom