babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,309
- 35,744
Hahaahah jana Nilimwambia athibitishe akawa anaruka ruka tu ๐๐๐ nadhani alikasirika sana.Si bus, na wala si van ni hiace tens ni shuttle services
View attachment 1260394
Hahaahah jana Nilimwambia athibitishe akawa anaruka ruka tu ๐๐๐ nadhani alikasirika sana.Si bus, na wala si van ni hiace tens ni shuttle services
View attachment 1260394
Hiyo tunaita kinda classy, kinda hood.Si bus, na wala si van ni hiace tens ni shuttle services
View attachment 1260394
๐๐๐๐๐๐๐๐๐Yani hawa watu unaeza sema hawana serekali
๐๐๐๐๐๐๐๐๐Yani hawa watu unaeza sema hawana serekali
Of course ni mazuri tu kwa mtazamo wa mtanzania kama wewe. Our standards are not and will never be the same. That's why you call those aqualors that cover three-quarters of your city dream houses.Ndio ukome kufananisha hayo maeneo mazuri na slums zenu
what is your understanding of the word shuttle "service"?Si bus, na wala si van ni hiace tens ni shuttle services
View attachment 1260394
Umeona vile wadanganyika wenzako wasiokuwa na uwezo wa kufikiria wanavokushangilia hapo chini na kunipigia makofi? ๐ ๐ And these are the same Tanzanians who want to overtake kenya soon ๐ ๐Kibera ina watu 2.5million
Makuru kayaba ina watu 700k
Mathare 500k
hzo ni tatu bado ziko zaidi ya 40๐๐๐๐View attachment 1260359
Is it a bus or??? Unajua maana ya bus au??what is your understanding of the word shuttle "service"?
Ukiniletea ushahidi wa google earth tanzania kuna slum nafunga account jamii forum trust me๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Umeona vile wadanganyika wenzako wasiokuwa na uwezo wa kufikiria wanavokushangilia hapo chini na kunipigia makofi? ๐ ๐ And these are the same Tanzanians who want to overtake kenya soon ๐ ๐
With this kind of reasoning?????
Standard zenu ni nyumba za mabati na kukaa kwenye slums.Of course ni mazuri tu kwa mtazamo wa mtanzania kama wewe. Our standards are not and will never be the same. That's why you call those aqualors that cover three-quarters of your city dream houses.
Watasema tunawaonea๐๐๐๐๐
Wapi GDP iko ICU inapumulia mipira ya mikojo๐๐๐๐๐๐
Ungesema 5,000,000 people. Mbona 2.5 ni kidogo sana ๐ ๐ ๐Kibera ina mabanda 250,000 ambayo yana accommodate dwellers 2.5 million.
Umeolewa sasa? Au Hujaelewa bado?
Yani hawa watu ukiwaskiza unaeza kudhani wako europe kumbe utumbo wa bata๐๐๐Mwezi wa pili nilikuwa Nairobi maeneo ya US embassy ambapo sio mbali sana na UN grounds. Sasa niko kwenye gari na rafiki yangu hivi namuona huyu mdada amesimama na bango kama hilo barabarani narudi masaa kama manne baadae namuona masikini wa Mungu kasimama hapo hapo yaani hadi nilimuonea huruma. Kazi kenya ni za mtoto wa bamdogo au mjomba, au rushwa ya mapenzi au utoe pesa kupata kazi vinginevyo utapata taabu sana. Halafu wanakuja humu oh middle income, si wenyewe middle income lakini sijawahi kuona Dar es salaam katika pitapita zangu au hata Mwanza, Moshi au Arusha kitu kama hiki na si kwamba watanzania wana pride sana kufanya kitu kama hiki, ni kwamba kwenye swala la kujiajiri kwa wale watu wasiopata kazi tupo mbele.
CNN๐๐๐๐๐๐๐๐๐Ungesema 5,000,000 people. Mbona 2.5 ni kidogo sana ๐ ๐ ๐ View attachment 1260422