Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha uongo labda mabibo ,mtongani,mwananyamala ,gongo la mboro etc,huko dah! Vyuma vilikazwa kitambo tu .
Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisini
 
Kibera/Kibra ipo. Chanzo cha kuweka hiyo data ni kukanusha kauli ya wenzako humu JF wanao sisitiza kibera/kibra ina watu milioni 2+
Kibera sio kibra, kibera ni slum Ile Ila kibra ni Jimbo au eneo Bunge ambalo linajumuisha Ayanyi,Kenyatta,ngumo, Woodley na some part of upper hill.
 
Ndio inapaswa unambie km mlijenga airport kando na ile tunayoijua
We komora endelea kulala usingizi wa pono wewe unafikili kelele za wakenya kuhusu airport humu jf zilikata bure waulize wakenya wenzako watakuambia
 
Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisini
Basi unakula kwenye vibanda vya mama ntilie, maana Dar naifahamu vizuri tu hakuna hoteli au mgahawa ma hadhi ambao unauza chakula Kwa hio bei,
 
Mkuu salute. Nilitaka niongeze like nyingine..na nyingine tena.
 
Mm nipo hapa airport yaani chakula unawekewa mboga tano njegere dagaa tembere kabeji na nyama Tsh1000 kama tena unaletewa hadi ofisini
Najua hao ni dagaa wa kutoka zenji wale wa bukoba huwezi ukapewa maana ni bei ghali, halafu nyama kipande kimoja unasherehekea ??Hahaha watanzania bana ,mna mambo ,kabeji! Heri mchicha nikionaga kabeji Kwa sahani nahisi kutapika Ila njegere zipo Sawa nazipenda.
 
Mods piga ban uyu muhuni wa kibera [emoji115][emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…