Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah huko sishangai hakupajengwa. Ulitaka watu wajenge kote kwa wakati mmoja!? Naona unaropoka huna point unayoongea. Ni sasa Nairobi huwezi kukuta mapori ila pia Dar huwezi kukuta NYUMBA ZA MABATI KAMA KIBERA. Kwahiyo bora mapori ambayo hayajajengwa au nyumba za mabati!?
Stop talking about slums wakati your whole city is a slum. The issue we were discussing here is ukubwa wa Dar ambayo tunaimbiwa hapa usiku na mchana. Stick the the topic of discussion. Stop looking for an escape route!!
 
ebu tupe list ya biggest slums in africa 🤣 🤣
 
you have google, nenda uliza mechi za CAF za wiki hii tanzania alafu uliza away teams wamebook kutumia uwanja gan, also dont forget to check na hoima they are booked heavily, alafu utuletee na zenu 🤣🤣🤣🤣
Heavily booked 🤣🤣
Hata nyayo is heavily booked nenda google uangalie 🤣🤣
 
Back
Top Bottom