Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

INDICATOR-01-1-750x375.jpg

For Rwanda the km r wrong ! Its supposed to be 4707. Mind u Halotel has had its own fiber optic over 95% completed

intro_coverage.png

Nlipofuatilia nilikuta umeandika tsh 2300 unaweza ukafanyia mambo mengi sana..
Baad ya kuleta ile purchasing power, so dhamira yako tuliijua ndio manake ukaumbuka..sai ndio unajifanya ilkua unaadika tu wala hukua eti hutaki comparison

Anyway..si urudi kw mada tu
Embu fuatilia reply za juu uone ni wapi pamebishwa,
Grow up punguza utoto, Usipende kuweka mashindano kwenye kila kitu.
 
Unakumbuka hapa ulijibu nn?
A better life.
The more developed a country is, the more you pay to maintain your standard of living.
Nlipokuuliza hukujibu umekuja na story za kujifariji..ok
Umeelewa hicho kingenge kwanza
Endelea kujifariji huku wakati wewe ndio una quote vitu usivyovielewa na kuandika ujinga
Kumjibu huyo jamaa ni kupoteza muda,jamaa huwa haelewi hata anachoposti,mi huwa nampotezea
 
Nlipofuatilia nilikuta umeandika tsh 2300 unaweza ukafanyia mambo mengi sana..
Baad ya kuleta ile purchasing power, so dhamira yako tuliijua ndio manake ukaumbuka..sai ndio unajifanya ilkua unaadika tu wala hukua eti hutaki comparison

Anyway..si ueudi kw mada tu
Ndugu una akili fupi mnoo,
Punguza kupenda kubishana kwa kutumia mihemuko,
Hapo juu niliuza tu kiustaarabu wala sikutaka ubishi wa kitoto kama wako,
Ni kitendo tu cha niliyemuuliza kujibu kuwa ksh kiasi hiki kinatosha hiki na hiki basi,
Sasa wewe kutokana na ufinyu wa akili ukarukia na kutapika matapishi yako badala ya kujibu kilichoulizwa
 
Tsh 2,302 is equivalent to ksh 100. Who told you I can't enjoy a meal at mama ntilie with a 100 bob hadi nibakishe change ya airtime?
Du Kenya maisha ni magumu sana tz dar es salaam sahani yq ugali yenye mboga ya nyama njegere dagaa na tembere ni TSH 1000 kama uamini muulize mk254
 
Mi hta nimeshasahu hyo mada..

Back
Top Bottom