Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dhamira yako ya kuleta huo mfano si ni ubishi tu..kwn una jipya
Hivi kuna aliye bisha au ni kiswahili kimekuwa lugha ngumu?
Niliuliza hapo juu vitu unavyoweza kufanya kwa pesa hiyo nashaangaa unarefusha mambo badala ya kujibu,
You guys kila kitu huwa mnafanya mashindano.
 
Mwaka huu ulipoanza unajua tsh kw dollar ilikua ngapi, then ukipata jibu ndio uje uangalie na sasa
Stability ni kitu tofauti...it means tumeweza ku maintain..nyie kuwa negative kwa % 1 ina affect sana mkenya wa huko.... sio swala la ku compare na Tz ..
Nakumbuka . mwaka huu huu ksh ilikuwa ina trade 1 usd 99ksh-100ksh now iko 103.5ksh ..in short mko volatile sana
 
hii kitu Tier III kenya waliitamba nayo, sasa tunayo kupitia Tigo... na kuna ile nyingine ya TTCL sijui (i’m not sure who owns the other one)

TTCL owns largest data centre in the whole of EA. Pia Vodacom and Halotel



 
Endelea kupindisha mada tu...
Najua utajisahau utakuja tena na story za tsh 2300...utajisahau tu, kwn hii ni mara ya kwanza..
Embu fuatilia reply za juu uone ni wapi pamebishwa,
Grow up punguza utoto, Usipende kuweka mashindano kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom