Due to strong leaders ndo ime ifanya china na Singapore kuwepo walipo saivi .. wame wa pata hao leaders kitambo. Sisi tume mpata wetu juzi tu apa na it has only been 4 yrs we have 8 planes zote ni zetu.. sio mkopo zile😂 kama kwa wenzetu na sisi, project za barabara kila kukicha, treni ya umeme, hospitalini karibia 500 ziime jengwa .. project za maji kila kukicha na nyingine zishaisha, umeme ndo isha anza huko nyerere dum.. kuta kuwa na Excess ya umeme waku uza ata njee ya nchi, visima vya gesi na mafuta vime sha gunduliwa ni wanatufuta mbinu mbadala ya kutunufaisha watanzania zaidi, tourism is sky rocketing, saivi tuna safisha madini yetu wenyewe, free education from primary to secondary school, viwanda vinajengwa kila siku bagamoyo huko.. watu wana shindana.. na mengine mengi and it’s all in 4 FUCKING YEARS...😂😂😂.. watu wana tu admire sasa ivi nchi jirani wanatusifia kwa maendeleo tanayo onekana kila kona ya tanzania .. afu wakenya ndo mna leta jeuri 😂😂😂😂😂 .. na bado mamamaeee