Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ivi mtu gani anaenda kukopa benki ile anunue Nyumba? Kama sio private sector zinataka kuwa ua kabisa.. najua unaweza pata mkopo kwasababu una fanya kazi kwenye kampuni flani kwaio bank kuwa na proof ya wewe kufanya kazi wana wa kopesha. lakini sasa Maswala ya kulipwa it’s not reliable. Ina maana siku ukifukuzwa kazi ambayo inaweza mtokea mtu yoyote .. ina maana utashidwa kuilipa benki na bado kuna maswala ya interest 🤦🏾‍♂️.. you guys are living a tough life no lie. Na maswala ya share ni sawa nakusema mna wachangia private sector kuendeleza miradi yao while nyie mna pata minor benefits out of it. Tusi sahau jamani they are private sectors, wamekuja kutengeneza profit kwa ajili yao na wanao tumika kuwa tengenezea profit ni nyie wakenya. If it wasn’t profitable for them they wouldn’t be there at the first place. that’s how ubepari (capitalism) works. It’s only the few who benefits. msijitoe ufahamu 😂 js my brothers.
So are you going against the old saying "Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu"? Why are you painting it black and white? There are small saccos and big investment companies like Suraya and the rest. Let's take the case of saccos for a start.These saccos are formed and run by Kenyans with the primary goal of uplifting members' welfare. They build affordable houses through their savings which are later distributed to members. About big companies like Suraya, yes they make profits after selling these houses to able Kenyans. But where do you think they take these profits? Of course they are paid out as dividends to thousands of Kenyans who are shareholders in these companies so your argument lacks an iota of truth and/or knowledge. Be infomed then come back later
 
Safari ya Sauzi inaendeleaje? 😂 😂 😂
nawaonea huruma KQ na wanafanyakazi wake wenye ndege nying ambazo zitakuwa hazina abiria coz wateja sasa tushare wote Uganda Airlines, Air Tanzania, Kenya na Ethiopia. KQ going to make more losses.
 
Morogoro Road/Bibi Titi Mohammed Road Junction ( AKIBA/CBE)
IMG_20191008_112216.jpeg
IMG_20191008_112028.jpeg
 
So are you going against the old saying "Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu"? Why are you painting it black and white? There are small saccos and big investment companies like Suraya and the rest. Let's take the case of saccos for a start.These saccos are formed and run by Kenyans with the primary goal of uplifting members' welfare. They build affordable houses through their savings which are later distributed to members. About big companies like Suraya, yes they make profits after selling these houses to able Kenyans. But where do you think they take these profits? Of course they are paid out as dividends to thousands of Kenyans who are shareholders in these companies so your argument lacks an iota of truth and/or knowledge. Be infomed then come back later

Most of dividends kwa small share holders zinakuwaga almost negligible. Na mpaka kupata good profit kama share holder mdogo ni mpaka kuwe na Surplus profit kubwa Inayo tengenezwa na kampuni uliyo nunua share from.. mfano apple company, Uber, Coca Cola and other big companies..Kwaio usije apa na mada za dividends wakati what y’all benefiting it’s almost to negligible for the expenses you be having 😂😂😂.. as I told you wanao benefit the most ni wachache, nyie wengine mmekuja kusadia kusukuma magurudumu ya watu wengine.. let that sink in
 
If you're guest in Dar and it's your first time to use BRT then you'll find ease way by checking the map for the all BRT network in Dar over 22 Kilometres.

Each BRT bus station has the map for the BRT network in the city

That's what we call smart transport system
IMG_20191008_112815.jpeg
 
Lol!!..next time you want to fart make sure you dont do it in a confined space among people....meaning you do your homework because some of us cannot stomach shit from a coward like you.you have to debunk your arguments with empirical data...then we will listen. Hysteria and emotions won't help you.
Kiingereza kiiingiii Halafu pumba tupu.
Wakenya nawashangaaga
NIKUZODOE KWANZA MAANA NAONGEA NA MPUMBAVU.
ULIKUA UKIBISHA KUWA JAPAN SIO TAIFA LA TATU DUNIANI KWA UCHUMI MKUBWA EBU TIZAMA HYO GRAPH HAPO CHINI.
YANI BADALA ULETE USHAHIDI WA GREAT ECONOMY UNALETA DATA ZA POWERFUL NATIONS INTERMS OF MILITARY.

EBU ANGALIA UJITOE UJINGA MWANAHARAM WW KIINGEREZA KINGI BICHWA MAJI.
focuseconomics_biggest_economies_november_2018-01-01.jpeg
 
Watu kama hao wanakuwa na miyemko ya kjnga kbx inabd kuwapotezea 2 coz bado ajakua na akshakua ataacha ujng wake
Achana nao hawa watu hawanaga akili halafu hujiona werevu sana kumbe ni kuku maji tu.
Mi huwa nawasoma sana stress za kudaiwa kodi kwenye nyumba za mabati kibera zinawasumbua.
 
Yani jamaa kaleta data zake za nchi ambazo ni powerful ktk jeshi sa cjui alkuwa anawaza nn
Kiingereza kiiingiii Halafu pumba tupu.
Wakenya nawashangaaga
NIKUZODOE KWANZA MAANA NAONGEA NA MPUMBAVU.
ULIKUA UKIBISHA KUWA JAPAN SIO TAIFA LA TATU DUNIANI KWA UCHUMI MKUBWA EBU TIZAMA HYO GRAPH HAPO CHINI.
YANI BADALA ULETE USHAHIDI WA GREAT ECONOMY UNALETA DATA ZA POWERFUL NATIONS INTERMS OF MILITARY.

EBU ANGALIA UJITOE UJINGA MWANAHARAM WW KIINGEREZA KINGI BICHWA MAJI.
View attachment 1226559
Yani acha 2 kun mj2 mngne wao wanabsha coz nature yao n ubsh ngoj 2msbrie cjui atakuj na hoja gani kuhusian na japan
 
Hatuwez peleka ndege sehemu yenye machafuko kwani nyie safari ya somalia vp???🤣🤣🤣🤣🤣
empty brain is south africa a wartorn country
and kenya airways subsidiary jambojet flies to mogadishu

ndege zenu zikienda south africa zitakuwa auctioned
 
empty brain is south africa a wartorn country
and kenya airways subsidiary jambojet flies to mogadishu

ndege zenu zikienda south africa zitakuwa auctioned

Ndege ni zetu, kama sehemu kuna challenge kibiashara or whatsoever hatuendi, hiyo ndio raha ya kuwa na ndege zako, Biashara ikiwa mbaya unapaki ‘uani’ kwako zinapunga upepo. KQ hawawezi kuthubutu hiyo jeuri, wanatakiwa kurudisha rejesho utadhani wanachama wa SACCOS
 
Back
Top Bottom