Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndege ni zetu, kama sehemu kuna challenge kibiashara or whatsoever hatuendi, hiyo ndio raha ya kuwa na ndege zako, Biashara ikiwa mbaya unapaki ‘uani’ kwako zinapunga upepo. KQ hawawezi kuthubutu hiyo jeuri, wanatakiwa kurudisha rejesho utadhani wanachama wa SACCOS
Kashaelewa tayri😂😂😂😂
 
Hatuwez peleka ndege sehemu yenye machafuko kwani nyie safari ya somalia vp???🤣🤣🤣🤣🤣
Machafuko iliisha kitambo sana. Wacheni kutafuta visingizio vya kijinga wakati airlines from different parts of the world zinaenda kule, hadi zile ambazo zilikatiza usafiri Kwa sababu za kisalama ziliresume flights kitambo sana. Mkishindwa kubalini mmeshindwa, sio kutafuta visingizio zisizo na maana
 
Kenya airways iliahirisha safari za somalia 😆😆😆😆
Jambojet flies to Somalia and it's owned by KQ. Yani vile picha zilikuwa zinashushwa hapa kila baada ya sekunde kumbe Sauzi imegeuka ikawa shamba la mawe!! 😂 😂 😂 Aibu sana
 
Mnapofanya kazi sisi tumelala?
Vitu mnaanza kufanya saa hii sisi tulifanya miaka mingi iliyopita...hapa ni kusoma tu number hakuna kipya
We subiri hapohapo kwenye mapipa ya kibera mwakani siyo mbali
 
Ndege ni zetu, kama sehemu kuna challenge kibiashara or whatsoever hatuendi, hiyo ndio raha ya kuwa na ndege zako, Biashara ikiwa mbaya unapaki ‘uani’ kwako zinapunga upepo. KQ hawawezi kuthubutu hiyo jeuri, wanatakiwa kurudisha rejesho utadhani wanachama wa SACCOS
Of course ni ndege zenu. Mnaweza beba Nazo hata mitungi za konyagi kupeleka mwanza kutoka Dar 😂 😂 😂 Do we even care?
 
kenya airways doesnot fly to somalia and has never flied to somalia
it is jambojet which flies to somalia na haijawahi hairisha safari zozote za somalia
Ichoboy is always misinformed. 90% of the time anaongea mambo ambayo hana uelewa hata kidogo. Yeye ni kuongea tu bora asikike akafu apigiwe makofi na mazuzu wenzake. Utamwelewa tu
 
Back
Top Bottom