Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's good to be positive and I like your attitude. Nawatakia kilalaheri. Lakini makosa mnaofanya ni kuongea bila data and disputing any data given which is immature for lack of a better word. Najua hujatembea Kenya hata siku moja. Wakati utatembea hapa utajua mbona sisi hupiga kifua

Na shidamoja na nyie wakenya data zenu hazi reflect uhalisia... ndo shida inatokea hapo 😂😂😂 ..
 
Baba usisaha “after a break of 12 years “ kuna mtu alisema Kenya Airways haikawahi kua na route za somalia. Sasa ndo tuku ulize wewe kingereza ndo lugha yenu ya kwanza jee unakielewa kweli ?😂😂😂😂😂😂😂 afu narudia tena na tena acheni 😂😂. Ata hvyo sito acha kuambia

jambojet flies to somalia not kenya airways

https://www.routesonline.com/news/3...ways-schedules-mogadishu-service-in-dec-2018/

ichoboy and tunna05 open that link read it and stop being blockheads


ic
 
Wakenya wanajidai wasomi lakini wapi .. kitukimoja wanacho julikana ni kwa uwongo na kujisifia vitu ambavyo havipo..
Mimi huwashangaa sana hawa watu.
Na bahati nzuri mm sitakaa nikabishana nao kwa lugha ya mabeberu wanaojitapa nayo.
Nakipenda kiswahili na hujivunia kiswahili tutaeleweshana kwa lugha hii hii.

Hawa majamaa Kiingereza ndio wao huchukulia usomi.
Mm huwashangaa sana.
 
Hatusemi Kenya Airways flies to somalia but you used to 12 years ago.. kuna mkenya mwenzenu alizama huku kichwa kichwa aka sema Kenya Airways haija wahi kwenda somalia.. ndo tatizo letu lika anzia apo

somalia 12 years ago was no go zone no airline will risk flying to somalia
kenya airways has never flied to somalia
jambojet does
 
Subili mwakani siyo mbali hizo ndege zetu NNE mpya tulizo lipia cash zitakua zite zimekuja mwaka huu tunapokea Mbili mpya hapo ndiyo tutaanza safari za Kenya na ndiyo utakuwa mwisho wa KQ
Hiyo ATCL kwanza ibishane na Fly540, Precision Air (subsidiary ya KQ) and Fastjet kabla wafikirie kupingana na KQ ambayo bado inatesa hata ikiwa ICU
 
Unaona ulivyo hutumii akili sasa???
Jamaa na hivi viingereza vyenu mnakwama wapi???
Kuna Nominal GDP na GDP per capita.
Nominal GDP ni kipimo cha mataifa yenye uchumi mkubwa .
GDP per capita ni kuchukua the nation GDP na kuigawanya na idadi ya watu.
Hata USA ni wa 13 ktk richest nations according to GDP per capita.
Ila ukija ktk masuala ya Nominal GDP USA ni economic power of the world ikifuatiwa na China na Japan.
Na uchumi unapimwa na vitu vingi ikiwemo importation and exportation.
Ebu waweza nambia hiyo Qatar na Luxembourg wana export vipi vya maana hapa worldwide kuizid Japan ama China ama USA??
Manufactured goods kibao dunia inatumia vya USA,China na Japan hayo mataifa mengine yanafuata.
Nominal GDP zao za kawaida zimegawanywa na kulingana na wao kuwa na idadi ndogo ya watu imechangia wao kuwa na per capita kubwa kuliko mataifa mengine.
Ila ichukue Nominal GDP ya Qatar km inafikia hata nusu ya Japan.
Sijui kama unafaham vema kuhusu GDP??
Maana una generalize tu hapa.
Fine,let us assume that i agree with you(which unfortunately i dont)..log into google and give me the top 10 richest countries in the world assuming that you know how to google...
 
Fine,let us assume that i agree with you(which unfortunately i dont)..log into google and give me the top 10 richest countries in the world assuming that you know how to google...
The problem is that you hat losing to Tanzanians.You have been educated and if you don't agree with him walk away because he is utterly right. Oh, and just so you know, Google is just a search engine, it'll bring you all information out there regarding what you need but not all of it is true or reliable.
 
Faida ioneka sasa 😂😂.. sio una lease afu you running on losses. Acheni kujitete ujinga.. Kenya Airways is a mess

before it became loss making
kenya airways was once the most profitable airline in the world
this are business cycles
ethiopian airlines which is the best and most profitable airline in africa leases most of its planes
now tell me when last did you post any profit you cant even clear your debts
 
Back
Top Bottom