Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani na ile kelele yote Kumbe ilikuwa tu ni toothless dog! In less than one month safari tayari imeshafika mwisho! 😂 😂 Kweli Tanzania ni nchi ya viwonder. Naona sasa ikibeba tu mitungi za konyagi toka Dar kwenda mwanza

Na ile ya Mumbai imefika wapi? Ama bado inapumulia oxygen??

Advertisement

ATCL yasitisha safari za kwenda Afrika Kusini

Sunday October 6 2019

Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.

[https://www]

BY Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

ATCL yatangaza rasmi kusitisha safari za JohanessburgAfrika Kusini, abiria waliokuwa wamekata tiketi za safari ya kuanzia Oktoba 7, 2019 watarudishiwa nauli zao.

Advertisement

Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.

Taarifa iliyotolewa na ATCL Oktoba 3, 2019 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Ladislaus Matindi iliwaelekeza mawakala wa tiketi wote kurejesha nauli za wateja hao ambao tayari walikuwa wamekata tiketi.

“Sababu ni hiyo hiyo iliyoelezwa awali kama kungekuwa na nyingine tungeeleza na kama kutakuwa na la ziada tutaeleza hapo baadaye kama tulivyoeleza hili.”

“Lakini tunajipanga tukishakuwa vizuri tutarejea” alisema Matindi alipoulizwa jana Jumamosi Oktoba 5, 2019 endapo kuna sababu ya kusitishwa kwa safari hizo tofauti na ile ya awali.

ATCL ambayo ilikuwa ikifanya safari hiyo mara nne kwa wiki (Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili) iliacha kufanya safari kati ya miji hiyo Agosti 23,2019 baada ya ndege yake aina ya Airbus A220-300 kuzuiliwa katika uwanja wa Oliver Tambo jiji Johanessburg kwa amri ya mahakama kuu ya Guateng.Baada ya takribani wiki mbili ndege hiyo iliachiwa huru kwa uamuzi wa mahakama.

Awali, ilielezwa baada ya kuachiwa kwa ndege hiyo safari zingeanza mara moja lakini siku moja baadaye Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema Serikali imeamua kusitisha safari kwenda katika nchi hiyo kutokana machafuko yaliyokuwa yakiendelea dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika (Xenophibia).

Hata hivyo, kwa kipindi chote Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Ladislausi Matindi alikuwa akisema safari hizo ambazo awali alizitaja kama chanzo kikubwa cha mapato ya shirika hilo zingerejea baada ya kuweka mambo sawa.

Aidha tangu Agosti 23, 2019 ATCL imekuwa ikisafirisha abiria wake wa Johanessburg kwa kutumia ndege za mashirika mengine ikiwemo South African Airways, Kenya Airways, Rwanda Air na Mengine.
 
@ tuusan
hahaha tanzania ina ebola
mbna serkali ya tz ilizuia WHO inspectors
UK na USA washapeana travel advisory

These are masters in denial, kwani huwajui? Anything painting their country in a bad picture is denied and fought by all and sundry
 
wanaogopa ndege zao zitapigwa mnada kule sauzi
 
Very beautiful and modern design. Here's one from UoN
uon theatre.jpg

Hosted your most valuable export in 2017 😀😀

Party nation. Oktoba drinking fest 2019 in Nairobi over the weekend.
 
Recently concluded EAGT hosted in Thika, 50km from Nairobi. We have to agree that Kenya is taking sports, media and entertainment in this region to a whole new level.
 
Tunajua jinsi gani mnatamani Tz tukutwe na majanga kama hayo but sorry that's never gona happen, istoshe ninyi mtaanza kufa kwa ebola not us

These are masters in denial, kwani huwajui? Anything painting their country in a bad picture is denied and fought by all and sundry
 
This year's Safari 7s is going to be liiit. South Africa's Team A confirms their participation which brings us closer to the goal of being the second African country to host at least one leg of the global HSBC 7s Circuit. SA's Blitzboks are joining a star-studded line-up featuring Kenya's elite team, Spain, Samurai, Portugal, Nigeria, Uganda, Russia(2 teams) among others. The event is expected to cement Kenya's position as the top rugby destination in East, Central and North Africa.
http://ragahouse.com/news/item/south-africa-confirmed-for-safari-7s
 
Churchill Show remains the undisputed king of live comedy and high quality production in Africa. Erecting a new stage every week in a new town outside Nairobi is no joke. For those who say that Kenya ni Nairobi tu just watch the turnout in "hunger-stricken" areas like Pokot and Turkana. The quality of production and turnout can tell you a lot about the wealth of a nation. It means they have enough time and money to spare for entertainment. Just look at the turnout yet the cheapest ticket is ksh1000 (tsh22,000) and VIP double that. The only billion shilling comedy show in Africa. The show got insured for KES72 million in 2015 (over Tsh1.5 billion). You can guess its worth right now.

West Pokot (Uganda border)

Narok

Eldoret
 
Big economy ilhali mwapokea misaada ya vyakula,ajira kila siku kupungua,ajira kusitishwa kwa muda wa miaka mitatu.
Kweli Kenya uchumi mkubwa.
Unfortunately we dont refer to http://www.invest.go.ke/why-invest-in-kenya-2/east-africa-largest-economy/ourselves as the biggest economy in east and central africa...World bank do!..ADB(Africa development bank said so...European union said so!!!..we on the other hand are just chilling and let others do the calculations..remember 1 Kenyan shilling is equal to 22.10 Tsh,how many yrs do you think Tanzanian economy will be at par with Kenya?..please dont answer we already know the answer.
 
wanaogopa ndege zao zitapigwa mnada kule sauzi
Hatukuwa tunapumua hapa wiki chache zilizopita. Yani picha zilikuwa zinatiririka kama maji ya mfereji. Nashangaa leo safari ya kwenda sauzi haiko tena. Wanadhani hii biashara ni kama ile ya kuuza karanga za Diamond! 😂 😂 😂
 
Do u know cloudsmedia group of Tanzania is behind EAGT!
lol, they must be the most unpatriotic Tanzanian company 🤣 🤣 🤣. They chose to host in Nairobi, over 75% of their workforce is Kenyan, the lighting and sound was provided by Mo Sounds (Kenyan company) and the list goes on. They were just media partners in addition to the long list that included Citizen TV (KE), NBS (UG) etc. I know you hate Kenya so much but numbers can tell you a lot. In fact the franchise was sponsored by Safaricom that's why they hosted it at the Mpesa Academy in Thika.
 
Hii terminal mtashinda mkituimbia hapa nikama we don't have it. We built a similar and even better terminal some years back. Enjoy KQ's theme song while at it
 
Back
Top Bottom