Hii ndio inasababisha tunaitwa shithole huku Africa. Hapo Nairobi HQ ya ofisi nyingi sasa wazungu wakiwa kwenye skyscrapers wakiangalia chini wanaona slums both sides. Wanaona wakenya wamenyonga tai Ofisini ila jioni anakatiza chochoro kwenda kulala kwenye slums. Sasa wataachaje kuitwa shithole?Dah yani nimesoma hayo maelezo hadi natamani kulia kwa maana yani watu 500K hadi 1M wanaishi eneo la kibera peke yake na less $1 per day in the nairobi city halafu na washangaa etty wakenya wanawacheka Tz.
Yana mara mia bora hata ya dar kuna uhafadhali kuliko nairobi ni potelea mbali.yani siwezi ishi kwenye jiji lenye slums kubwa africa na ya tatu duniani bora hata uishi mombasa kuliko nairobi lenye slums za kutosha View attachment 1224595View attachment 1224596View attachment 1224597View attachment 1224598


Yani sio pw majengo mazuri wanaishi wazungu(white man) native wanaishi kwenye slums yaani halafu nawashangaa wanavyotupigia kelele utafikiri wao ni bora sana kuliko wengineHii ndio inasababisha tunaitwa shithole huku Africa. Hapo Nairobi HQ ya ofisi nyingi sasa wazungu wakiwa kwenye skyscrapers wakiangalia chini wanaona slums both sides. Wanaona wakenya wamenyonga tai Ofisini ila jioni anakatiza chochoro kwenda kulala kwenye slums. Sasa wataachaje kuitwa shithole?
Wakenya mnatuaibisha hapa Africa. Haiwezekani tutukanwe wote kisa utitiri wa slums zenyu.![]()
wakenya huwa wana low think capacityHata a dress ya aliyechora mchoro ipo mtaa wa Mafinga kinondoni Dar , Anyway , Kuna kampuni 12 zimehusika kukamilisha hilo jengo , lakini mtu kakomalia katujengea Kenya ndio imetujengea. Structural engineer, quantity surveyor etc hawajafanya chochote Au sio muhimu hivyo vingefanywa na K&M.
View attachment 1223888
![]()
![]()
![]()
![]()
Kenyans never cease to amaze
Hiyo utoto tuko nayo umetuwezesha kuwa na uchumi kubwa kuwaliko, umetuwezesha kuwa na a bigger middle class, hiyo utoto pia ndio chanzo cha wakenya wachache kuishi on less than a dollar a day compared to dangagizans. Niendelee ama nisiendelee?what?? nigga, this got you amazed?
ndo mana mna utoto mwingi 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️
Dah iyo muvi ilichezwa asee![]()
![]()
![]()
![]()
Kenyans never cease to amaze
Etty wakenya wachache ndo wanaishi < 1$ yaani huoni hata aibu unabishana na ukweli.wewe kubaliana na hali yenu kuwa ni mbaya sana.wakenya wengi wanaishi < 1$ per day in the nairobi city.kama vipi leta data inayosema wakenya wachache nikupe 10k kshHiyo utoto tuko nayo umetuwezesha kuwa na uchumi kubwa kuwaliko, umetuwezesha kuwa na a bigger middle class, hiyo utoto pia ndio chanzo cha wakenya wachache kuishi on less than a dollar a day compared to dangagizans. Niendelee ama nisiendelee?
Hiyo utoto tuko nayo umetuwezesha kuwa na uchumi kubwa kuwaliko, umetuwezesha kuwa na a bigger middle class, hiyo utoto pia ndio chanzo cha wakenya wachache kuishi on less than a dollar a day compared to dangagizans. Niendelee ama nisiendelee?
Me siongei
Me siongei