This is a stupid narrative that we've heard kutoka era ya Nyerere and it's even stupid you using this same old and boring line today. Hata Nairobi yenyewe mnaamini ilijengwa na wazungu so we are not surprised at all. Keep massaging your ego but maybe you should try a different line coz this one is getting boring nowDon’t speak for the Indians and the whites.. ongelea you’re fellow black kenyans.. jee kuna chochote mna faidi kwenye huo uchumi?
Mimi nimekubaliana na hali yangu. Wewe pia kubaliana na hali yako 😂 😂Etty wakenya wachache ndo wanaishi < 1$ yaani huoni hata aibu unabishana na ukweli.wewe kubaliana na hali yenu kuwa ni mbaya sana.wakenya wengi wanaishi < 1$ per day in the nairobi city.kama vipi leta data inayosema wakenya wachache nikupe 10k ksh
Unataka nikupigie picha za vitu ninazomiliki nikutumie ndo nikufurahishe ama? Wacha kubishana na mtu usiyemjua na hutowahi kumjua about his private lifeutoto kwako! nionyeshe nin cha maana unamiliki? una nyumba? gari? una kampuni?
just how can you be amazed by those things that should be amazed by kids????? just how??? you grown up buddah!
Huna picha za construction mpya mpya za kenya!? Maana since thread hii inaanza picha hii inatupiwa.
👇👇👇👇👇👇👇Mimi nimekubaliana na hali yangu. Wewe pia kubaliana na hali yako 😂 😂
View attachment 1224864View attachment 1224865
Next twende kwa number of middle class
Indexmundi?? 😂 😂
Ungefanya vizuri kama ungeleta picha yoyote mpya ya Dar that has never been posted hereHuna picha za construction mpya mpya za kenya!? Maana since thread hii inaanza picha hii inatupiwa.
Leo ni miaka mitatu.
Hehehe failed state
Hii ni moja ya faida yakuwa na "strong currency" acha waendelee ku enjoy.
middle income uchumi mara 5 ya Mozambique wanashidwa kuwa na feri ya kimiddle hakika huu ni uchumi wa makaratasini wasituzingue 🏃