Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Density ya Dar
Screenshot_20191006-144724_YouTube.jpeg
 
This is a stupid narrative that we've heard kutoka era ya Nyerere and it's even stupid you using this same old and boring line today. Hata Nairobi yenyewe mnaamini ilijengwa na wazungu so we are not surprised at all. Keep massaging your ego but maybe you should try a different line coz this one is getting boring now

Sio tuna amini ndo kweli... wtf you saying? Wanao endesha nchi hiyo na wenye makampuni makubwa hapo kenya ni Indians and whites. Broo usi umie coz we saying the truth, it is what it is. And what do you even mean by saying ego.. au umejisikia kulitumia tu 🤦🏾‍♂️.
 
Endelea kujifariji ila gepu, as you call it, continues to get even bigger
 
Endelea kujifariji ila gepu, as you call it, continues to get even bigger

Unaongelea nini😂? Gepu lipi hilo labda? Huko watu kila siku unemployment ina ongezeka. Au ndo unajitoa ufahamu. Kampuni zina fungwa zingine zina fukuza wafanyakazi. On top of that kuna njaa, Mnasherekea donation za vyakula. Eti mnatuacha gape 😂😂😂😂 we jama bwana. Afu you speaking of kujifariji, Sasa mimi na wewe nani ndo anajifariji? Kenyans kwa sasaivi you are so doomed.. mwelekeo wenu ni hovyo sana na mnalijua hilo sema ndo mpo kwenye denials. Endelea kushangilia gdp ambazo zina kua regulated na watu wachache ukithani ndo maendeleo 🤦🏾‍♂️😂.. ata hvyo keep on assuming najifariji.. sisi ni kazi tuu
 
Hiyo utoto tuko nayo umetuwezesha kuwa na uchumi kubwa kuwaliko, umetuwezesha kuwa na a bigger middle class, hiyo utoto pia ndio chanzo cha wakenya wachache kuishi on less than a dollar a day compared to dangagizans. Niendelee ama nisiendelee?
Uchumi upi mlonao? Wa shobo za wazungu na makaratasi
 
Hivi umeielewa vizuri au ndo unajitumia bila kujua hiyo ni vise versa unataka kusema kuwa wewe ndo huko vizuri kuliko hao S.africa.yani wewe kuwa na 43% maana yake huko hali mbaya ndo maana hata zimbabwe amekuwa na 70% because yuko na hali mbaya zaidi.na hata Tz kuwa na 23% anahafadhali.

So yani kwa hiyo stats yako uliyoleta inaonesha ni jinsi gani mpo hali mbaya kuliko Tz
 
you let it sink in because it's the truth and not otherwise
I didn't say it, you did!..cowboy favorite saying.."Horse thieves are not hanged because they stole horses; but so that other horses will not be stolen".
 
Hiyo utoto tuko nayo umetuwezesha kuwa na uchumi kubwa kuwaliko, umetuwezesha kuwa na a bigger middle class, hiyo utoto pia ndio chanzo cha wakenya wachache kuishi on less than a dollar a day compared to dangagizans. Niendelee ama nisiendelee?
If the image showing Kenya as the biggest economy in east and central Africa ni utoto...then niko na utoto!!!!!!
 
Hivi umeielewa vizuri au ndo unajitumia bila kujua hiyo ni vise versa unataka kusema kuwa wewe ndo huko vizuri kuliko hao S.africa.yani wewe kuwa na 43% maana yake huko hali mbaya ndo maana hata zimbabwe amekuwa na 70% because yuko na hali mbaya zaidi.na hata Tz kuwa na 23% anahafadhali.

So yani kwa hiyo stats yako uliyoleta inaonesha ni jinsi gani mpo hali mbaya kuliko Tz
Bro huyo mtazamo wake kama wako alikua akimthibitishia Huyo Mkenya kuwa wana hali mbaya kutuzidi.
 
If the image showing Kenya as the biggest economy in east and central Africa ni utoto...then niko na utoto!!!!!!
Big economy ilhali mwapokea misaada ya vyakula,ajira kila siku kupungua,ajira kusitishwa kwa muda wa miaka mitatu.
Kweli Kenya uchumi mkubwa.
 
Back
Top Bottom