NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,746
- 49,630
watakuambia wamechora michora[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata a dress ya aliyechora mchoro ipo mtaa wa Mafinga kinondoni Dar , Anyway , Kuna kampuni 12 zimehusika kukamilisha hilo jengo , lakini mtu kakomalia katujengea Kenya ndio imetujengea. Structural engineer, quantity surveyor etc hawajafanya chochote Au sio muhimu hivyo vingefanywa na K&M.