Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Buda moja alisema nyuma ya makumbusho ni slum, of course nyumba hazijapangwa kama mabweni but huwezikuta harufu mbaya na nyumba zina quality ya aina yake kwa matumizi ya binaadamu
New Makumbusho.png

New Makumbusho2.png

New Makumbusho3.png

New Makumbusho4.png

New Makumbusho5.png

New Makumbusho6.png
 
Inakuuma sana ukiletewa picha za chini coz unajua we are much better than your slums. Wew leta hiz picha za juu utakavyo lakn tz hakuna slums na watu wanaishi
Umesoma anywhere nimetype kuwa kuna slum Tz?
Screenshot_20190912-104831.jpeg
 
Umesoma anywhere nimetype kuwa kuna slum Tz? View attachment 1224425

It’s fucking Wikipedia 😂😂😂 any body can write what ever he wants. hiyo na huwakika ni mkenya kaandika... 😂😂😂😂.. it “ the poorer residents crowd into downtown area or large slums” it doesn’t even make sense 😂😂.. yani na uwakika mtu aliye andika hiyo ni mkenya
 
Ukisikia wachawi ndio hawa, achana nao yaani mtu anaenda kujisumbua kila mahali kwenye mitandao ili tu Tanzania ionekane hovyo. jamani wakenya sio sisi tuliowatangazia kuhusu slums bali ni wazungu wenu ndio wanawatangazia hivyo nendeni mkawaandikie hao sio kuja kutuchafua sie huku ambao hata hatuna mda na nyinyi
 
Back
Top Bottom