game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
Mimi naona kama kinyesi kipo kichwani kwako eti, Si kweli?