Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There are 4 ATCL’s daily flights between Dar and Kilimanjaro, This is the Last flight departing at 22, There are other flights by Precision Air,
Wale nyumbu husema ATCL hazina Abiria
IMG_9319.JPG
IMG_9318.JPG
 
Even on a random scale Jkia looks busier.....the likes of kilimanjaro and zanzibar are just grazing fields
 
Ubaya ni kwamba umerudia maneno yale yale. Hakuna kipya.

JNIA labda ingoje miaka kama kumi hivi ama hata kumi na tano ndio ianze kuwa na ndoto za kushindana na JKIA. Huwezi zaa mtoto leo then kesho yake aanze kuzungumza na kucheza na watoto wakubwa waliozaliwa mbele yake. That's not the law of nature. Kuna stages lazima mtu apitie na kulala maji iko na wakati wake kwa hivyo hapo mtangoja sana

Nilisema kwamba kwa hizo vitu zote uluzotaja, kitu Dar inazidi nayo Nairobi ni BRT pekee yake. Sector ya barabara tumewashinda mbali tena sana coz nyinyi ni juzi tu mmeanza kujenga barabara while Nairobi started doing so a decade ago and it's still doing so.

I listed a number of things Nairobi inazidi nayo Dar in my earlier post but you deliberately decided to give them a wide berth and instead you repeated the same things your colleague wrote which I had already countered
ukichaa unakusumbua
 
Av been teaching you Guys this Countless times that Tanzania Economy is not concentrated in Dar alone,
Apart from JKIA tell me where else in Kenya do people fly to International Destinations?

If you Go to JKIA you will see direct flights to Kilimanjaro as well as Zanzibar,
So far You can fly Amsterdam, Dubai, Doha, Adis, Abu dhabi, etcto Kilimanjaro direct thrice a week,
The Same to Zanzibar —-
This picture were taken by Me hapo JKIA
View attachment 1213090

Meanwhile now I am at KIA and this is how it looks
View attachment 1213091View attachment 1213092
There's Mombasa international airport as well as kisumu international airport though the latter mostly handles domestic flights. Ubaya wenu ni kubalisha goli Mkishindwa kwenye hoja. Swali ilikuwa ni kwamba hii JNIA inahandle how many passengers in a year. That was the question lakini wewe usharuka hadi Kilimanjaro na Zanzibar. Halafu kitu unafaa kjua ni kwamba Zanzibar is like a country on it's own with a president, government and I believe a parliament of its own. How do you expect such a place not to have an international airport?
 
Tanzanians argue purely out of emotions and voodoo non existent statistics.....but factwise they can't dare that route.They only beat us in witchcraft
Watoe wapi facts? Facts zao ziko kwenye akili zao tu. They are just imaginary things
 
Thats my home wifi.....i use it for my content on YouTube and Netflix
Kwanza nunua simu nyingine ndo uludi humu JF...It seems Kenyans depend on free Wifi to get the network..Pesa ya airtime hamna...??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom