komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa wewe unajua zaidi sio?
Haha konyagi siachi mpaka niishushe ile njemba mikono chini. Halafu nyagi huku ni kitu ya kawaida Sana. Sio huko mnaitukuza Kama cognac ya Ciroc vile..maana mmezoea chang'aa
Back on biz, hizo flats kibera ni mali ya nani? Plus zile nyingine zaidi ya 40+ houses. Niambie zilijengwa kwa mradi upi kama sio huo wa cheap houses. Link niliyokuwekea hapo inayo hadi hayo mapicha yako ya kibera. Serikali inajenga vipi bila kupata Hati kwanza? Au ndio upigaji tu.
Bongo hapa ardhi ni mali ya serikali inajenga popote tu ikiamua. Hizo flat zote hadi serikali ilipe compensation ipate hati najua gharama itazidi hela za kujenga hizo flats. Hence uhuru ataendelea kuwa baba yenyu. Na vile anataka kutengeneza u-putin na u-medvedev na u-kabila na u-tshekedi.. Mpo nae sana huyo.




