Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
KENPAULITE

KENPAULITE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
1,438
Points
2,000
L

laizerg

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
734
Points
1,000
L

laizerg

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
734 1,000
32370112278_6645dbe39c_b-jpg.1204709
gettyimages-591875410-2048x2048-jpg.1204720
gettyimages-638590646-2048x2048-jpg.1204724
gettyimages-996132758-2048x2048-jpg.1204727
gettyimages-1124302254-2048x2048-jpg.1204728
gettyimages-1124431159-2048x2048-jpg.1204729
 

Attachments:

Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
2,945
Points
2,000
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
2,945 2,000
Finally kibera amepata mpinzani wake anaitwa mukuru kayaba..huyu mukuru kayaba anakuja kwa kasi sana..
Mukuru kayaba is an upcoming slum in nairobi,east africa and the world at large,it is expected to reach 1mill slum dwellers next year
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,597
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
6,478
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
6,478 2,000
Finally kibera amepata mpinzani wake anaitwa mukuru kayaba..huyu mukuru kayaba anakuja kwa kasi sana..
Mukuru kayaba is an upcoming slum in nairobi,east africa and the world at large,it is expected to reach 1mill slum dwellers next year
img_20190906_143541_600-jpg.1204736
 
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
2,945
Points
2,000
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
2,945 2,000
Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres into the most confused manner. Pole pole mtafika tu
We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee
 
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
810
Points
1,000
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
810 1,000
Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres in the most confused manner. Pole pole mtafika tu
Imagine niliona ndege ikienda kutua JNIA inapita juu ya slums kubwa za Dar es Salaam for a whole seven minutes. That's a huge huge slum area when you factor in the speed of planes.
 

Forum statistics

Threads 1,336,636
Members 512,670
Posts 32,546,221
Top