Na bado utasema kuwa hazipo dar city center coz naona umeishiwa maneno hadi unasema kuwa tume edit.Na mnajua ku edit![]()
Bro kuna soko la kariobangi slums qumamaqyeee bro chakula huwez nunua pale.Tatizo la jiji la nairobi kuna vibanda ambavyo ni choka mbaya na viko kwenye unplanned seltement ndo wanataka kushindanisha na jiji la dar huwezi kuta vibanda vya mabati wala mbao ni mwendo wa nyumba za tofari
Leta ambayo ni ground photograph na sio aerial photograph.
Bro kuna soko la kariobangi slums qumamaqyeee bro chakula huwez nunua pale.
Jamaa zile pic anasema hilo ni soko la low class settlers wa kariobangi.
Asa me nikajiuliza mbona Dar masoko ya low class mazuri tarmac hadi chocho mathalan Tandika sokoni??
Yan nguruwe akipita anatapika hapo soko la kariobangi.
Asa binadam sijui wana survive kivipi???


dah yan wanatia huruma na kinachonkcheksh zaid n hz nyumba zao za mabati zlzobanana utafk ndz za malindi au mshaleIle tandale ninayojua ama siku hizi kuna tandale mbili Dar? Halafu sasa umebadlisha goli. Mwanzoni mlisema haziko, sasa tena imekuwa tena ni story za hekaya mara tandale mara vijijini. Bure kabisa! Kwenye Swala la kimakazi, itabidi mjikaze sana kufikia NairobiZiko kila mahali kwa sababu ardhi inamililikiwa na wachache
Huku hata vijijini Unakutana nyumba za kifahari na haturingi hata, yaani hadi tandale unakuta nyumba kama hizo ulizopost hapa.
Hapana, ni MazenseAsa jamani hii si Tabora Ipuli kabisa mtaa wa freemason?????!!!!
Jfunze kuandk vzur sio unaandk utafkr mtot wa pre unitHapana, ni Mazense
Of course they are ordinary houses as per Tanzanian standardsLeta ambayo ni ground photograph na sio aerial photograph.
Pia hizo unazoziona sio slums ni ordinary houses.
Ninyi mna slums na ukiangalia maana yake ni poor houses so hamuwezi kulinganisha slums za kwenu na nyumba za dar ambazo ni ordinary house.
Hajasema tandale vijijini soma vizuri then ndo utoe coment yako sio unakurupuka utafikir unakimbizwaIle tandale ninayojua ama siku hizi kuna tandale mbili Dar? Halafu sasa umebadlisha goli. Mwanzoni mlisema haziko, sasa tena imekuwa tena ni story za hekaya mara tandale mara vijijini. Bure kabisa! Kwenye Swala la kimakazi, itabidi mjikaze sana kufikia Nairobi
Ok how about kibera?they are poor houses as per kenyan poorOf course they are ordinary houses as per Tanzanian standards
Kuna mtu anajua miradi aliyowahi kufanya huyu Mkandarasi (Tanzania Building Works Ltd),mie nimeona mmoja tu kama sikosei DIT Teaching Tower ambao ulisuasua kipindi flani,CEO yuko very exited mradi kupewa wazawa,safi!, pia ni wakati wake wa kujijenga au kujibomoa miradi hii ya PUBLIC haitaji masihara masihara kbs,wabongo siku hizi tunajua vitu vizuri,kwa period aliyopewa itambidi awe na sub-contractors wakutosha sana hao sub-contractors sasa na wao wafuatiliwe kwa ukaribu kbs uwezo wao. Tatizo ya hizi tender wkt mwingine kampuni inashinda kwny makaratasi kwny uhalisia ni vtu viwili tofauti,na kigezo kisiwe tu kisa wao ni lowest bidders kwny bid price,basi ndo hao hao. Evaluation Team needs a wider knowledge of different expertise kwa mchongo husika.Kuna makampuni ya wazawa ukisikia yameshinda tender unapumzika mie yangu ni haya;Hapo kunajengwa bonge la Beaches mithili ya copacabana, nimeona features zake ni balaa, kutakuwa na waterparks kubwa za kutisha, restaurants, public showers, different sports complexes, parking za kutosha na facilities nyingi
wacha mambo yako hebu tizama swali lako ulilomuuliza mwanzo lina endana na hili uliloliandika sasa..?Mwenzako aliuliza kama serikali iko na hati ndio maana nikamuuliza kwamba kama ardhi yenyewe ni Mali ya serikali, watokasaje kuwa na hati? That's common sense
nitakupa gift mzee umetushaI said Tanzania is an LDC and Dar a glorified fishing village![]()
![]()
![]()
inabidi nikuoe wewe...Wewe unayejua mbona hujajinasua kutoka kwenye tope la LDC?![]()
![]()
blessed city yetu hii mzee kuna location za kigamboni na bunju hukoMkuu wapi hapa
You need to up your game danganyikans. I can show you thousands and thousands of such images from Nairobi but there's no need of going down that road. like I said yesterday, apartments ziko kila mahali Nairobi so I won't even bring those
View attachment 1211296View attachment 1211297View attachment 1211298View attachment 1211299View attachment 1211301View attachment 1211302View attachment 1211303View attachment 1211304View attachment 1211305View attachment 1211306View attachment 1211307View attachment 1211308View attachment 1211309View attachment 1211310View attachment 1211311View attachment 1211321View attachment 1211322View attachment 1211323



mzee umejikanyaga unashow vitu viko old fashion mzee

Ile tandale ninayojua ama siku hizi kuna tandale mbili Dar? Halafu sasa umebadlisha goli. Mwanzoni mlisema haziko, sasa tena imekuwa tena ni story za hekaya mara tandale mara vijijini. Bure kabisa! Kwenye Swala la kimakazi, itabidi mjikaze sana kufikia Nairobi