Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
MNF tu ni 140m na 30flr tower..PPF HQ pamoja na offices na conference floors unataka uniwekee habari za 134m ..na hao emporis ni account tu kama nyingne mtu una log in unaweka details ....hao emporis wenyewe wametoa wapi hyo info hata hao ppf hawajasema kitu?? Subiria final height jengo likiisha na likafunguliwaPPF ni 134m.