Lol........lack of exposure ni shida.In your thick head dar is a city...!...lol
The fact kuwa leo tunaitoa jasho nairobbery inaonyesha jinsi speed ya ukuaji wa Dar es salaam ilivyokuwa 5g. Miaka ya zamani wala hatukuwa kwenye map ya majiji bora zaidi Afrika lakini leo hii Dar ni the fastest growing city in the continent. Na kinara wa maendeleo. Japokuwa kuna mambo mbalimbali ya kukosoa lakini nampongeza Rais Magufuli na administration yake kwa kujitahidi kutekeleza masuala mbalimbali ya maendeleo . Watanzania, tuendelee kufanya kazi kwa bidii kwani mahala tulipo ni pazuri na tukikaza buti, tutafika mbali sana.
#Darmpya
#MakeTanzaniaGreatAgain
View attachment 1192874View attachment 1192875View attachment 1192876View attachment 1192877View attachment 1192878View attachment 1192880View attachment 1192881View attachment 1192882View attachment 1192883View attachment 1192884View attachment 1192886View attachment 1192887View attachment 1192889View attachment 1192890View attachment 1192891View attachment 1192892View attachment 1192893View attachment 1192897View attachment 1192910