babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,320
- 35,759
Ushawahi muona mchina akizungumza ovyo na kukidharau kichina? Jibu ni hapana,
[emoji23][emoji23][emoji23] lakini ninyi mnajikuta ati kuongea kiinglish ni sign of intelligence alafu mnadharau wanaozungumza lugha zao za kiafrica ni wajinga fulani [emoji23][emoji23][emoji23]
Btw hao wachina hawaongei kiinglish lakini mbona wanawapapasa kila kona.

Not a sign of intelligence but understanding the language is key, even the Chinese are learning it fast, currently we have thousands of English speaking Africans teaching the chinese the queens language in china