That is just a screenshot of an article from CNBC. I made it blurred on purpose to focus on that particular part. It's laughable when you are even equating that to an essay. You can read the whole article hereWhy is your source of information blurry? You look for the most unreliable information out there, take a look at this. Holy shit! 40% View attachment 1191058
Nimewahi kubahatika kufika na kuzuru ktk jiji la Nairobi Kenya, pia kuzuru ktk majiji mengine makubwa kwenye nchi mbalimbali hapa duniani e.g. kuzuru ktk majiji ya Sydney, na Bisbane nchini Australia, Bangkok nchini Thailand, na kuwahi kuishi ktk majiji ya Johannesburg na Cape Town nchini Afrika Kusini, huko nimejifunza vitu vingi hususani kuhusu ubora na uzuri wa miji yenyewe, mipangomiji na miundombinu ktk majiji husika, maendeleo ya jumla ktk sekta ya huduma, n.k.Nikirudi ktk majiji yetu ya DSM Tz na Nairobi Kenya, japokuwa Mimi ni Mtanzania, ukweli ni kwamba jiji la Nairobi ni bora zaidi, ukilinganisha na jiji la Dsm.Jiji la Nairobi imeendelea zaidi, lina miundombinu bora zaidi(yote miundombinu ya barabara, majengo, huduma za afya, elimu, n.k), na huu ukweli ulio wazi kabisa ambao haufichiki wala haupingiki.Nairobi kwa kiasi fulani imekidhi viwango vya majiji yaliyo bora hapa duniani, hasa ktk upande wa ubora wa Mipangomiji na miundombinu bora ya barabara na majengo mazuri ya kisasa.Miundombinu ya bara bara imepangilika na iko bora sana Nairobi.DSM kwa kiasi kikubwa ni "squatter city" au "unplanned city" with shanty towns.
Ubora wa mpangilio wa mji, miundombinu ya barabara, majengo , n.k ktk jiji la Nairobi Kenya kwa kiasi Fulani unakaribiana na ule uliopo kwenye majiji mengine mazuri yaliyo bora hapa duniani, umekidhi viwango vya kidunia kama ilivyo kwa majiji ya Johannesburg, Cape Town (South Africa), Sydney (Australia), Bangkok (Thailand) ambako nimewahi kuzuru na kujionea Mimi mwenyewe kuhusu uzuri wa miji hiyo.
Unafikiri kwenye Jukwa hili ni nani hajafika Nairobi?
You do realize that it can be completely swallowed by Kariakoothis is what a real CBD looks like ..no upperhill no westlands hereView attachment 1191228
If you want someone to read any information source why would you want to make it blur? It's even way better if you give the person a screenshot. There's clearly some information that you didn't want me to read. I am not even going to spend a second to read that article, I am already well informed, keep your trash to yourselfThat is just a screenshot of an article from CNBC. I made it blurred on purpose to focus on that particular part. It's laughable when you are even equating that to an essay. You can read the whole article here
Foreign Domestic Investment (FDI) into Africa rises, and Morocco joins South Africa as leading investment destinations - CNBC Africa
South Africa shares the title of largest African FDI hub with Morocco; Southern, West, East and North Africa all receive more or less equal FDI (measured in project numbers); The USA remains the single biggest country investing in Africa, while Western Europe is by far the biggest regional...www.cnbcafrica.com
Secondly, there's a time I brought a link from The citizen newspaper but one of you was so quick to dismiss it saying the newspaper is owned by a Kenyan company and therefore can't be trusted. How then do you trust this one? So information is only valid if it favours Tanzania?
With the exception of this newspaper that you don't even trust with certain nees(the citizen), every other source is placing Kenya ahead of Tanzania in FDI. Here are some of them
Foreign direct investment to Africa defies global slump, rises 11%
Africa escaped the global decline in foreign direct investment (FDI) as flows to the continent rose to US$46 billion in 2018, an increase of 11% on the previous year, according to UNCTAD’s World Investment Report 2019.Growing demand for some commodities and a corresponding rise in their prices...unctad.org
The State of Foreign Direct Investments in Africa - New African Magazine
Foreign Direct Investments – FDI Flows – to Africa rose by 11 per cent to $46 billion in the past year, and in 2019, a number of factors, including the the realisation of African Continental Free Trade Area Agreement (AfCFTA) could support additional flows. According to UNCTAD’s World Investment...newafricanmagazine.com
View attachment 1191249Newsroom
Stay up to date with the latest news from EY — and see how we’re building a better working world.www.ey.com
Kwahyo apo unapaona ndio patamu kuliko yani,?this is what a real CBD looks like ..no upperhill no westlands hereView attachment 1191228
kumbe mtazamo nilijua una exp... ya haya majijiToa maoni yako kulingana na mtazamo wako, huo ni mtazamo wangu Mimi.
Vile vile, unatakiwa upingane na mimi kwa hoja, "argue with reasons", lakini siyo kuniuliza "illogical questions"
Harare iko planned kuliko mji wowote apa africaThose are your mates Harare,antananarivo,kinshasa etc
Ni kweli lakini ki-mji chenyewe ni kidogoHarare iko planned kuliko mji wowote apa africa