Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtangoja sana 😂 😂 😂 😂
View attachment 1191031
This looks like somebody's essay and to view the entire thing, you were required to pay. Lol, you are a fu**ing idiot and you are hella cheap! kawadanganye mbwa wenzako sio mimi, nimeelimika na pesa walizospend wazazi wangu college zilinisaidia sio kama wewe
 
Wakenya wana akili ndogo sana, hadi viongozi wao, hali ni hiyo hiyo.
Kweli aisee maana kwa namna nilivyokua nikimsikiza Uhuru akitoa speech hata kupangilia maneno hawezi hana power of speech kabbisa mpk nilishangaa.
 
Nimewahi kubahatika kufika na kuzuru ktk jiji la Nairobi Kenya, pia kuzuru ktk majiji mengine makubwa kwenye nchi mbalimbali hapa duniani e.g. kuzuru ktk majiji ya Sydney, na Bisbane nchini Australia, Bangkok nchini Thailand, na kuwahi kuishi ktk majiji ya Johannesburg na Cape Town nchini Afrika Kusini, huko nimejifunza vitu vingi hususani kuhusu ubora na uzuri wa miji yenyewe, mipangomiji na miundombinu ktk majiji husika, maendeleo ya jumla ktk sekta ya huduma, n.k.Nikirudi ktk majiji yetu ya DSM Tz na Nairobi Kenya, japokuwa Mimi ni Mtanzania, ukweli ni kwamba jiji la Nairobi ni bora zaidi, ukilinganisha na jiji la Dsm.Jiji la Nairobi imeendelea zaidi, lina miundombinu bora zaidi(yote miundombinu ya barabara, majengo, huduma za afya, elimu, n.k), na huu ukweli ulio wazi kabisa ambao haufichiki wala haupingiki.Nairobi kwa kiasi fulani imekidhi viwango vya majiji yaliyo bora hapa duniani, hasa ktk upande wa ubora wa Mipangomiji na miundombinu bora ya barabara na majengo mazuri ya kisasa.Miundombinu ya bara bara imepangilika na iko bora sana Nairobi.DSM kwa kiasi kikubwa ni "squatter city" au "unplanned city" with shanty towns.
Ubora wa mpangilio wa mji, miundombinu ya barabara, majengo , n.k ktk jiji la Nairobi Kenya kwa kiasi Fulani unakaribiana na ule uliopo kwenye majiji mengine mazuri yaliyo bora hapa duniani, umekidhi viwango vya kidunia kama ilivyo kwa majiji ya Johannesburg, Cape Town (South Africa), Sydney (Australia), Bangkok (Thailand) ambako nimewahi kuzuru na kujionea Mimi mwenyewe kuhusu uzuri wa miji hiyo.
 
Ka CBD Ka Nairobi Vs Kariakoo, ndio hakoo sasa mtatueleza nini wakenya?View attachment 1190813View attachment 1190814
Hehee...Westlands= Posta,Kariakoo,Upanga and ilala
tapatalk_1566899774453.jpeg
tapatalk_1564499065299.jpeg
 
Nimewahi kubahatika kufika na kuzuru ktk jiji la Nairobi Kenya, pia kuzuru ktk majiji mengine makubwa kwenye nchi mbalimbali hapa duniani e.g. kuzuru ktk majiji ya Sydney, na Bisbane nchini Australia, Bangkok nchini Thailand, na kuwahi kuishi ktk majiji ya Johannesburg na Cape Town nchini Afrika Kusini, huko nimejifunza vitu vingi hususani kuhusu ubora na uzuri wa miji yenyewe, mipangomiji na miundombinu ktk majiji husika, maendeleo ya jumla ktk sekta ya huduma, n.k.Nikirudi ktk majiji yetu ya DSM Tz na Nairobi Kenya, japokuwa Mimi ni Mtanzania, ukweli ni kwamba jiji la Nairobi ni bora zaidi, ukilinganisha na jiji la Dsm.Jiji la Nairobi imeendelea zaidi, lina miundombinu bora zaidi(yote miundombinu ya barabara, majengo, huduma za afya, elimu, n.k), na huu ukweli ulio wazi kabisa ambao haufichiki wala haupingiki.Nairobi kwa kiasi fulani imekidhi viwango vya majiji yaliyo bora hapa duniani, hasa ktk upande wa ubora wa Mipangomiji na miundombinu bora ya barabara na majengo mazuri ya kisasa.Miundombinu ya bara bara imepangilika na iko bora sana Nairobi.DSM kwa kiasi kikubwa ni "squatter city" au "unplanned city" with shanty towns.
Ubora wa mpangilio wa mji, miundombinu ya barabara, majengo , n.k ktk jiji la Nairobi Kenya kwa kiasi Fulani unakaribiana na ule uliopo kwenye majiji mengine mazuri yaliyo bora hapa duniani, umekidhi viwango vya kidunia kama ilivyo kwa majiji ya Johannesburg, Cape Town (South Africa), Sydney (Australia), Bangkok (Thailand) ambako nimewahi kuzuru na kujionea Mimi mwenyewe kuhusu uzuri wa miji hiyo.
Sawa Mtanzania halisi, una jingine!!?

Hahaha
af the way unavyozungumza as if you're the first kufika NBO

Sio mbaya ni maoni yako tuu maana hapa ni JF "where we dare to talk openly"
 
Maoni yangu yame-base kwenye uhalisia "reality" na wala siyo kigezo kingine chochote kile. Labda wewe mtizamo wako ume-base kwenye "utaifa" au jambo lingine lolote linalofanana na hili, ndio maana unaona tunatofautiana kimtazamo.

Na kwa watanzania tunavyopenda kusifia vya kwetu hata Kama ni vibaya, siyo kitu cha ajabu kumsikia mtanzania akijitapa kuwa jiji la Dar es Salaam ni bora, kubwa na zuri zaidi kuliko jiji la Johannesburg lililopo nchini Afrika Kusini.

Anyway, naheshimu mtazamo wako, kwani uko huru kufanya hivyo.
 
we mgeni wa miji????
 
Back
Top Bottom