Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,298
- 33,541
Lipeni deniWapi wameandikwa imeshindwa kulipa kodi??? Hehehe Air tanzania inawanyima usingizi
Lipeni deniWapi wameandikwa imeshindwa kulipa kodi??? Hehehe Air tanzania inawanyima usingizi
SGR no loan world bank😆😆👇👇👇Mwezi Moja na tayari mshakuwa na deni[emoji23][emoji23]
Labda ww unioneshe ni deni gani😆😆👇👇Lipeni deni
Mwenzenu alipoleta ya Upperhil with kibera in the foreground did he reason the same you are reasoning here? Just the same way you have no idea you have no idea where Upperhil is kutoka kibera. Ni distance mbali sanaza mwaka gani hizi? BTW u have no idea where Posta is! seeing the towers doesnt mean it is posta the distance is at least 15 km!
That doesn't change anything. The fact that Dar is poorly planned still remains. Ama unataka kuniambia kwamba ndani ya hizo miaka saba Dar has come up with a new master plan that has eliminated the poor plan of the city? Kuna vitu hazifai mabishano2012....
Almost 7 years ago [emoji16][emoji16]
Hii tower ni ndefu Sana.Pole sana mimi nimezoea hii yenye iko na tatuView attachment 1188416
Hiv kweli kuna mpaka maghorofa huo mtaa ndo unaona uchafu.
Kijitonyama to posta ni zaidi ya km 5 .
We hujui Daresalam kabbisa.
Unachekesha ww.That doesn't change anything. The fact that Dar is poorly planned still remains. Ama unataka kuniambia kwamba ndani ya hizo miaka saba Dar has come up with a new master plan that has eliminated the poor plan of the city? Kuna vitu hazifai mabishano
Naongea ninachojua!Unachekesha ww.
Miaka hyo saba kuna maeneo yanavunjwa na kurekebishwa.
NHC,WATUMISHI HOUSING NA NSSF ndio wanafanya hilo.
Unaongea nn ww
Unaongea ulichokaririshwa sio unachokijua.Naongea ninachojua!
Mwenzako alisema 15 kilometres wewe unasema 5 kilometres. Nani anasema ukweli kati yenu wawili?Kijitonyama to posta ni zaidi ya km 5 .
Sijui kama unajua kuwa hapo ni kijitonyama
Na Vipi kuhusu hizi dream houses? Mbona hizi hazijavunjwa ama hii pia ni 2012?Unaongea ulichokaririshwa sio unachokijua.
Majengo kibao yameshavunjwa na kujengwa upya we wakariri ya 7 years ago.
#157180 hii post km umesoma na kuielewa utakuwa ushapata jibu.Na Vipi kuhusu hizi dream houses? Mbona hizi hazijavunjwa ama hii pia ni 2012?
View attachment 1188908
The thing is, Dar is poorly planned and that is a fact you'll never run away from. Mahali niliosoma isiwe issue kwako sababu najuwa nakuzidi akili mara mia#157180 hii post km umesoma na kuielewa utakuwa ushapata jibu.
KUNA MAENEO YASHAANZA KUVUNJWA NA KUREKEBISHWA SIJASEMA KUWA MAENEO YOTE.
UMESOMA SHULE GAN WW????!!!!
Was 7 years ago budaWatakuambia hiyo ni Dar ya 90s
Brainwashed wenzio wameongea mengi sana kupitia hizi pichaNa Vipi kuhusu hizi dream houses? Mbona hizi hazijavunjwa ama hii pia ni 2012?
View attachment 1188908