Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,954
- 35,022
Hii tower iko km 8 kutoka cbd,hapo nairobbery meter 300 toka cbd unaanzaa kukutana na slums za maanaTukiwambia Dar ina towers tatu mnakataView attachment 1188427
Hii tower iko km 8 kutoka cbd,hapo nairobbery meter 300 toka cbd unaanzaa kukutana na slums za maanaTukiwambia Dar ina towers tatu mnakataView attachment 1188427
Uko mwepesi sana kukana huo uchafu haiko karibu na cbd yenu ilhali unaamini kibera iko karibu aa upper hill na pengine hata haijawahi kanyaga Nairobi! Wewe pia Uliza Watanzania wenzako waliowahi kufika Nairobi watakuambia ukweli. Pia unaweza Ingia google earth ujiangalilie mwenyewe. There's a way picha inawezapigwa katika angle fulani sehemu mbili zionekane zimekaribiana ila in real sense ziko mbali sana. It is called photography. Below are Google images of kibera. See for yourself how far it is from upperhilLike seriously!!!!?
Ama kweli huijui Dar, uliza hata wakenya wenzako waliowahi kufika Dar wakuambie kama CBD ya Dar (Posta included) kuna kitu kama hicho [emoji16][emoji16]
Posta is another world kwa Dar imejitenga kweli kweli from those areas you want to show
Kisa Kibera ipo karibu na CBD ndo unataka kufananisha na Posta kwamba ipo karibu na those houses!!!? [emoji16] umechelewa bro
Hii tower iko km 8 kutoka cbd,hapo nairobbery km 2 toka cbd unaanzaa kukutana na slumView attachment 1188689
Nbo slum ni kibera tu?Uko mwepesi sana kukana huo uchafu haiko karibu na cbd yenu ilhali unaamini kibera iko karibu aa upper hill na pengine hata haijawahi kanyaga Nairobi! Wewe pia Uliza Watanzania wenzako waliowahi kufika Nairobi watakuambia ukweli. Pia unaweza Ingia google earth ujiangalilie mwenyewe. There's a way picha inawezapigwa katika angle fulani sehemu mbili zionekane zimekaribiana ila in real sense ziko mbali sana. It is called photography. Below are Google images of kibera. See for yourself how far it is from upperhil
View attachment 1188687View attachment 1188688View attachment 1188691
Hii ndio Dar halisia a mish mash of unplanned developments wacha wasikudanganye . Nimeziona posts nyingi sana za watanzania hapa JF wakilalama kwamba Dar haina mipango na nyumba zinajengwa kiholela .
Huu ni uchafu gani sasa waTzed? Hili jumba gorofa ni kama kujenga Nyayo House kule katikati mwa Mathare slums za mabati roofs.
One of the best buildings in tangagiza shares a fence na slum hihihi!. Haikosi wafanyikazi kwa mambo ya planning wako vijiweni wanasifu ccm tuu
Baadhi ya hizo posts zao ndio hizi hapa. At least hawa hawajapumbazwa na uzalendo za kijingaHii ndio Dar halisia a mish mash of unplanned developments wacha wasikudanganye . Nimeziona posts nyingi sana za watanzania hapa JF wakilalama kwamba Dar haina mipango na nyumba zinajengwa kiholela .
Watakuambia hiyo ni Dar ya 90sHuu ni uchafu gani sasa waTzed? Hili jumba gorofa ni kama kujenga Nyayo House kule katikati mwa Mathare slums za mabati roofs.
Hahaha yaani kijitonyama inaskyline nzuri kuliko Jiji la Mombasa....
Kq ndege 3 miaka 50 ya kazi mnakwama wap?mwanaume madeni italipwa tuIt's merely one month and already mshashindwa kulipa Kodi. Will ATCL manage to compete with KQ and Ethiopian airline? [emoji23][emoji23]
Kq ndege 3 miaka 50 ya kazi mnakwama wap?mwanaume madeni italipwa tu
2012....Baadhi ya hizo posts zao ndio hizi hapa. At least hawa hawajapumbazwa na uzalendo za kijinga
View attachment 1188772View attachment 1188775View attachment 1188776View attachment 1188778View attachment 1188779View attachment 1188780
za mwaka gani hizi? BTW u have no idea where Posta is! seeing the towers doesnt mean it is posta the distance is at least 15 km!
Wapi wameandikwa imeshindwa kulipa kodi??? Hehehe Air tanzania inawanyima usingiziIt's merely one month and already mshashindwa kulipa Kodi. Will ATCL manage to compete with KQ and Ethiopian airline? [emoji23][emoji23]