Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viongozi wa Tanzania wamekenua meno wakiwa KICC alafu hapa JF maskini na chokoroa are making noise about KICC.
 
Wakivaa hayo mawigi yao wanaanza kuzungusha vichwa wanapoongea na kujiona kama wazungu vile, ha ha ha🙂
Yupo busy kutingisha wigi na kusema ooh my goodness na hiyo ni baada ya week nzima kupita, Tanzania siku ya tukio na vyakula, magodoro, madawa tayari vimeshafika na kama kuna msiba serikali inagharamia, wakundustan kila mtu apambane na hali yake 🙂
 
Hawajui KICC inaweza host basketball matches, tennis matches, conferences, music concerts, exams, political rallies na bado ina maofisi. Hawa wanaskianga tu KICC.
Ina host mpaka viti vilivyovalishwa pampers
Screenshot_20240429-154611.jpg
 
English is not our language we learn it like other languages like China ,japan French, Germany, Italy and so on clearly understand
There are no languages known as China, Japan, Germany and Italy. What do you people learn in School by the way?
 
Mt kilimanjaro imetúmika hapo juu SGR passes through tsavo amboseli ecosystem na Iko very visible.
Tumia akili.
Next time Nairobi Addis sgr ikijengwa expect to see mt Kenya ,juu itapita hapo karibu.
Mko washenzi Sana.
UTOTO tu.
Wekeni hili likichuguu lenu sababu ni mali yenu in totality achaneni na Kilimanjaro sio mlima wenu hata kama ni kuona hata mawingu yakiwa Tanzania mnaweza kuyaona lakini hamsemi yenu, kaeni mbali kabisa na Kili na uzuri saivi hamna fala wa kumchota kwamba mlima upo kwenu, social media zimewaharibia kila kitu

Eti best views, hii ni Kunyaland?

20240127_231430.jpg
20240109_225858.jpg
20231208_175408.jpg
20240127_231435.jpg
 
Back
Top Bottom