Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First, huwezi nifundisha kizungu. Ingekuwa unajua kizungu sana haungekuwa na shida ya kuelewa interchangeably ina maana gani. Secondly, unaposema nyumba za kigamboni haziijengwa kwa ubora unamaanisha nini? Ubora wa nyumba ni nini kwako? Hiyo ubora wa nyumba unayotaja ni moja ya vitu ambazo zinachangia eneo kuwa unplanned. Like I told you earlier, planning entails so many things
Hahahaahahahahahha Kenyans mnajifanya mnajua kumbe wakariri tu.
Umesoma nilichokuandikia vema???
Kweli kuna tofauti ya kusoma na kuelewa.
Ww hukuelewa umesoma tyuuu.
Nakuelezea for the last time bro,hakuna mahali nimekuelezea kuwa nyumba za kigambon hazina ubora.
Bali nimekuelezea kuwa kigambon kuna nyumba NZURI zenye UBORA kubwa safi ila hazijajengwa kimpangilio.
Yani zimekaa kimafungu mafungu.Zina maji safi,umeme, fence kila kitu.Je nazo hizo ni slums???!!!!!!!
Wapi unakwama broooooo!!!!!!!???
Yani umejivuruga mzee mpk waongea tofauti na maelezo nilokupa.
Rejea kwa umakin nilichokielezea.
Na still unajivuruga.
Unajua maana ya ubora (quality )???
Hv waelewa kwamba twaweza zijenga nyumba kwa city planning lakin zikawa hazina ubora,nzuri ila zimepunjwa cement ufa hauchelewi kutoka???
Nazo tutaziita unplanned settlements????
Na vp tukijenga nyumba nzuri bungalows kwa concrete bricks ila zimetapakaa hovyo nazo tutaziitaje????
Bro unajivuruga sana kwanza huelewi unachoelezewa then unavuruga vitu kwa kuleta ujuaji mwingi .
Tufanye umeshinda.
 
Hahahaahahahahahha Kenyans mnajifanya mnajua kumbe wakariri tu.
Umesoma nilichokuandikia vema???
Kweli kuna tofauti ya kusoma na kuelewa.
Ww hukuelewa umesoma tyuuu.
Nakuelezea for the last time bro,hakuna mahali nimekuelezea kuwa nyumba za kigambon hazina ubora.
Bali nimekuelezea kuwa kigambon kuna nyumba NZURI zenye UBORA kubwa safi ila hazijajengwa kimpangilio.
Yani zimekaa kimafungu mafungu.Zina maji safi,umeme, fence kila kitu.Je nazo hizo ni slums???!!!!!!!
Wapi unakwama broooooo!!!!!!!???

Baba kumuelezea mkenya ni kama kukinga maji kwa kutumia net
Hizo jamaa ziko na bichwa ngumu haijawahi tokea..
 
Baba kumuelezea mkenya ni kama kukinga maji kwa kutumia net
Hizo jamaa ziko na bichwa ngumu haijawahi tokea..
Hahahahahahaahhahhahaahahahhahaha daaah nimeamin hawa jamaa ni buree kabbisa hakuna lolote dhidi ya ukariri tu wa mambo pasi na kuchanganua wanayokaririshwa.
 
Dar and Zanzibar by night
1566041577911.png
 
First, huwezi nifundisha kizungu. Ingekuwa unajua kizungu sana haungekuwa na shida ya kuelewa interchangeably ina maana gani. Secondly, unaposema nyumba za kigamboni haziijengwa kwa ubora unamaanisha nini? Ubora wa nyumba ni nini kwako? Hiyo ubora wa nyumba unayotaja ni moja ya vitu ambazo zinachangia eneo kuwa unplanned. Like I told you earlier, planning entails so many things
Usifundishwe kivipi kwan ulizaliwa unakijua au????? Au unafkiri kujua kiingereza basi ndio msomi au???😆😆😆😆
 
Usifundishwe kivipi kwan ulizaliwa unakijua au????? Au unafkiri kujua kiingereza basi ndio msomi au???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Namshangaa kaka.
Yan vitu ndogo ameshindwa vinga'mua akavibeba kwa ukariri na kuvibwaga pwaa eti kisa anajua kiingereza.
 
Hizo mitaa duni za Dar munaziitaje? Na hizo mitaa duni ziko afadhali kushinda hadi za Parisama hata Cairo? Dar ni moja ya miji nuhimu Africa kivipi sasa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbona hapa umeingiza ushabiki?
Sasa kama hujui hio ni kaz yangu mm kukujuza kvp
 
Najua mtanzania na kiingereza haziendaniila jaribu uelewa hata Kama ni kidogo. Google pia iko inaweza kukusaidia. Hiyo picha ya ichoboy unasema the two words are used INTERCHANGEABLY.
Wee acha kujitetea kusema kiingereza hapa mimi nazungumzia vigezo ulivyovipost kuhusu unplanned settlements vinathibitisha kuwa kumbe hizo nyumba za watu wa hali ya chini Dar ni bora zaidi ya unplanned settlements, post yako imezungumzia basic services na madirisha usilete excuses za kiingereza hapa. Na kwa post yako hizo nyumba hatutaziita tena unplanned bali tutaziita nyumba za watu wa hali ya chini maana hawajakosa basic services na madirisha. So buda nenda ukagoogle tena uje na indicators za kutosha kwa sehemu kuitwa slums or unplanned settlements
 
Back
Top Bottom