Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww sio mzima umelewa chang'aa sio bure wacha nikuache kidogo.
Unplanned settlements inaweza ikawa results of poverty ama yaweza kuwa results of lacking city planning.
Mfano soweto kigambon kuna unplanned settlements lakin kuna adequate clean and safe water.Kuna good and beautiful houses.Kuna sufficient social services.
Ndio maana nikakwambia slums can be resulted with unplanned settlements but not every unplanned settlements are slums.
Huyo fala kwani anaelewa basi, mda si mrefu atakuja na excuse ya kiingereza. Anafikiri sisi hatujui kiingereza wakati tunataka kiswahili kisambae duniani
 
First, huwezi nifundisha kizungu. Ingekuwa unajua kizungu sana haungekuwa na shida ya kuelewa interchangeably ina maana gani. Secondly, unaposema nyumba za kigamboni haziijengwa kwa ubora unamaanisha nini? Ubora wa nyumba ni nini kwako? Hiyo ubora wa nyumba unayotaja ni moja ya vitu ambazo zinachangia eneo kuwa unplanned. Like I told you earlier, planning entails so many things
Buda uwache ulimbukeni wa lugha kuna wafaransa, warusi, wachina, wakorea, japani n.k wasiojua au ambao hawako fluent linapokuja swala la kuzungumza kiingereza. tunawatoto ambao hata hwajaanza primary na wanabonga kiingereza bila shida, ndio kusema wasiendelee kusoma kisa wanajua kiingereza? Nina uhakika buda ningekutana na wewe face to face ni vichekesho maana siku zote mtu anakua limbukeni wa vitu ambavyo hajavijua fika
 
Wachina hawaongei kingereza lakini wanawapapasa wakenya balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Buda uwache ulimbukeni wa lugha kuna wafaransa, warusi, wachina, wakorea, japani n.k wasiojua au ambao hawako fluent linapokuja swala la kuzungumza kiingereza. tunawatoto ambao hata hwajaanza primary na wanabonga kiingereza bila shida, ndio kusema wasiendelee kusoma kisa wanajua kiingereza? Nina uhakika buda ningekutana na wewe face to face ni vichekesho maana siku zote mtu anakua limbukeni wa vitu ambavyo hajavijua fika
 
Wee acha kujitetea kusema kiingereza hapa mimi nazungumzia vigezo ulivyovipost kuhusu unplanned settlements vinathibitisha kuwa kumbe hizo nyumba za watu wa hali ya chini Dar ni bora zaidi ya unplanned settlements, post yako imezungumzia basic services na madirisha usilete excuses za kiingereza hapa. Na kwa post yako hizo nyumba hatutaziita tena unplanned bali tutaziita nyumba za watu wa hali ya chini maana hawajakosa basic services na madirisha. So buda nenda ukagoogle tena uje na indicators za kutosha kwa sehemu kuitwa slums or unplanned settlements
Mambo na madirisha yametoka wapi? Nionyeshe mahali nimetaja dirisha. Mbona unaweweseka?
 
Hiv kweli huo ni udongo mwekundu?

Halafu huo umemwagwa katika process za ujenzi wa Barabara

Halafu punguza wivu
Hakuna aliye na wivu nanyi hata moja bro. Shida yenu ni kutokubaliana wa ukweli wa mambo, hata yale yaliyowazi kabisa bado mnapinga tu. It is called living in denial
 
Hahahaahahahahahha Kenyans mnajifanya mnajua kumbe wakariri tu.
Umesoma nilichokuandikia vema???
Kweli kuna tofauti ya kusoma na kuelewa.
Ww hukuelewa umesoma tyuuu.
Nakuelezea for the last time bro,hakuna mahali nimekuelezea kuwa nyumba za kigambon hazina ubora.
Bali nimekuelezea kuwa kigambon kuna nyumba NZURI zenye UBORA kubwa safi ila hazijajengwa kimpangilio.
Yani zimekaa kimafungu mafungu.Zina maji safi,umeme, fence kila kitu.Je nazo hizo ni slums???!!!!!!!
Wapi unakwama broooooo!!!!!!!???
Yani umejivuruga mzee mpk waongea tofauti na maelezo nilokupa.
Rejea kwa umakin nilichokielezea.
Na still unajivuruga.
Unajua maana ya ubora (quality )???
Hv waelewa kwamba twaweza zijenga nyumba kwa city planning lakin zikawa hazina ubora,nzuri ila zimepunjwa cement ufa hauchelewi kutoka???
Nazo tutaziita unplanned settlements????
Na vp tukijenga nyumba nzuri bungalows kwa concrete bricks ila zimetapakaa hovyo nazo tutaziitaje????
Bro unajivuruga sana kwanza huelewi unachoelezewa then unavuruga vitu kwa kuleta ujuaji mwingi .
Tufanye umeshinda.
You don't have to write all these just to explain a single point. kuna kitu inaitwa summary
 
Usifundishwe kivipi kwan ulizaliwa unakijua au????? Au unafkiri kujua kiingereza basi ndio msomi au???😆😆😆😆
Naweza fundishwa sikatai, lakini bongolala is the least person capable of doing that 😂 😂
 
We nyani ondoka hapo Uhuru park kwa WiFi ya bure ukalale kwa slum au unalala kwa box hapo Uhuru park
Najua Dar is slum haina public recreational parks size ya Uhuru Park so I understand your frustrations. Labda nikujulize tu, hapo kando yako Uhuru Park kuna another recreational park called Central Park just as big and beautiful as Uhuru Park. We can lend you Central Park for free for a whole month mupate mahali pa kutoa stress za kuishi ndani ya dream houses na kung'anga'na na hali ya maisha ngumu ya LDC 😂 😂 😂
 
Leo nimeshika makei za mibongolala zaidi ya ishirini wamebaki tu wakitoa povu na makamasi mithili ya ng'omve iliyo kichinjioni.

Good night 🌃 from Nairobi, the most import city in this part of the world

Screenshot_20190817-233500.png
 
Kuna tofauti kubwa kati ya povu na kuambiwa ukweli [emoji23][emoji23][emoji23] sijui kama Unajua hilo.
Leo nimeshika makei za mibongolala zaidi ya ishirini wamebaki tu wakitoa povu na makamasi mithili ya ng'omve iliyo kichinjioni.

Good night [emoji561] from Nairobi, the most import city in this part of the world

View attachment 1184106
 
Mambo na madirisha yametoka wapi? Nionyeshe mahali nimetaja dirisha. Mbona unaweweseka?
Ona ulivyoboya hujui hata unachopost: Au ndio hujui dirisha kwa kingereza linaetwaje nini?
"Used interchangeably"... Am sure you don't even understand the meaning of that word. I wish you did, ungejuwa unavojichanganya. But since am dealing with ichoboy, am not surprised you don't know the meaning of that word interchangeably. Anyway, just a little help on the word unplanned settlement below 👇 👇 👇
View attachment 1183515
 
Najua Dar is slum haina public recreational parks size ya Uhuru Park so I understand your frustrations. Labda nikujulize tu, hapo kando yako Uhuru Park kuna another recreational park called Central Park just as big and beautiful as Uhuru Park. We can lend you Central Park for free for a whole month mupate mahali pa kutoa stress za kuishi ndani ya dream houses na kung'anga'na na hali ya maisha ngumu ya LDC 😂 😂 😂
Najua Dar is slum haina public recreational parks size ya Uhuru Park so I understand your frustrations. Labda nikujulize tu, hapo kando yako Uhuru Park kuna another recreational park called Central Park just as big and beautiful as Uhuru Park. We can lend you Central Park for free for a whole month mupate mahali pa kutoa stress za kuishi ndani ya dream houses na kung'anga'na na hali ya maisha ngumu ya LDC 😂 😂 😂
Hizo tumekuletea bustani kwanza kwasababu tukiletea Beach utasema hamna bahari
Bustani Mnazi Mmoja Dar
images (29).jpeg
images (28).jpeg
images (27).jpeg

Posta Mpya Dar
images (26).jpeg
 
Back
Top Bottom