Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa akili zako ule udongo mwekundu kabbisa mwekundu???Huna macho ww.
Na hule mchanga ni wa vikokoto umemwagwa pale sio wa asili ya pale.
Dar kuna udongo mweupe sio mwekundu.
Huyo bado mjinga akili zake za kitoto😆😆😆
 
Unajua ww jamaa Unanichekeshaga mnooo???
Ingekuja habari Kenya haina slums na China zipo usingepinga.
Ila ni tz unapinga.
Endeleeni kujifariji and living in denial. Naona hadi Paris, one of the most beautiful and modern cities in the world iko na slums (which I didn't even know), lakini Dar, a glorified village haina slum. Yani hapa Africa mko vizuri kushinda hadi Cape Town na Cairo! 😂 😂 😂
 
Ww sio mzima umelewa chang'aa sio bure wacha nikuache kidogo.
Unplanned settlements inaweza ikawa results of poverty ama yaweza kuwa results of lacking city planning.
Mfano soweto kigambon kuna unplanned settlements lakin kuna adequate clean and safe water.Kuna good and beautiful houses.Kuna sufficient social services.
Ndio maana nikakwambia slums can be resulted with unplanned settlements but not every unplanned settlements are slums.
Mkuu unafaa kuwa mwalimu,umemuelezea vizuri sana
Akishindwa kuelewa na hapa,sidhani kama kuna kitu atakuja elewa katika maisha yake..
 
Nimeamini ww sio mzima.
Hata maana ya hiyo interchangeably hukulielewa.
Na hujui ni zip basic social services ww kijana.
Unakariri pasi na kuelewa.
Basic social services ni water services,Health services,education services na social wellbeing.
Unplanned settlements ni makazi ambayo hayajajengwa kimipango miji kiasi kuzalisha unplanned towns and cities.Haihusian na masuala ya social services kenge ww.
Slums ni maeneo ambayo yapo ktk hali duni ya maisha ambayo yamechanganya vitu vyote poverty,poor housing,poor well-being,unplanned settlements.
Hv vyote huzalisha slums.
Ndio maana nikakwambia slums zinaweza zikachangiwa na unplanned settlements lakin sio kila unplanned settlements ni slums.
Na ndio maana nikakutolea mfano kigamboni kuna good and quality housing lakin nyumba hzo zilizojengwa kwa ubora hazijajengwa kimpangilio ila ni nzuri kubwa na bora na wananchi wanapata huduma ZOTE ZA KIJAMII huwezi kuziita slums.
Elewa sio kila mzungu anaweza kukuelezea kitu kisa yeye mzungu wengine hawana logic ndio maana kukawekwa walimu na watabe au wabobezi.
Umesoma shule gani ww????
 
Endeleeni kujifariji and living in denial. Naona hadi Paris, one of the most beautiful and modern cities in the world iko na slums (which I didn't even know), lakini Dar, a glorified village haina slum. Yani hapa Africa mko vizuri kushinda hadi Cape Town na Cairo! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajielewa ww????
Mji kuwa mzuri haina maana kuwa hauwez kuwa na slums.
Kwan ukumbuke kuna watu wenye maisha ya chini pia hushikilia kuishi mjini.
 
Ya Paris hayakuhusu buda...naukumbuke Paris kuna waafrica wengi sana mle, nnawaswas mlienda kugundua slum uko...
Mitaa duni Dar ipo lakin inauhafadhali sana ukilnganisha na yenu...Kumbuka Dar ni moja ya miji muhimu Africa tandale kuko vibaya lakini kibera hapafai kabisa
 
Endeleeni kujifariji and living in denial. Naona hadi Paris, one of the most beautiful and modern cities in the world iko na slums (which I didn't even know), lakini Dar, a glorified village haina slum. Yani hapa Africa mko vizuri kushinda hadi Cape Town na Cairo! 😂 😂 😂
Haina maana kua modern cities ikiwa na slum lazma dar pia iwe na slum inamaana slum ndio kithibotisho cha kua mji bora 😂😂😂 wewe unamatatizo kweli
 
Unajielewa ww????
Mji kuwa mzuri haina maana kuwa hauwez kuwa na slums.
Kwan ukumbuke kuna watu wenye maisha ya chini pia hushikilia kuishi mjini.
Kwa hivyo Dar hakuna watu wa maisha ya chini? Yani Dar kila mtu anaishi kwenye 'dream house'? Kama zile za tandale na Mazense ndio dream houses then wacha tu ikae
 
Ya Paris hayakuhusu buda...naukumbuke Paris kuna waafrica wengi sana mle, nnawaswas mlienda kugundua slum uko...
Mitaa duni Dar ipo lakin inauhafadhali sana ukilnganisha na yenu...Kumbuka Dar ni moja ya miji muhimu Africa tandale kuko vibaya lakini kibera hapafai kabisa
Tandale ina nafuu kubwa sana na tena siku hzi watu wanaporomosha nyumba za adabu
 
Kwa hivyo Dar hakuna watu wa maisha ya chini? Yani Dar kila mtu anaishi kwenye 'dream house'? Kama zile za tandale na Mazense ndio dream houses then wacha tu ikae
Wapo lakini hakuna slum issue hapa ni slum haina maana ukiwa na maisha duni lazma uishi kwenye slum 😆😆😆😆😆
 
Kwa hivyo Dar hakuna watu wa maisha ya chini? Yani Dar kila mtu anaishi kwenye 'dream house'? Kama zile za tandale na Mazense ndio dream houses then wacha tu ikae
We umefika manzese sasa hv na Tandale??
Yani wanajenga nyumba nzuri kasoro hazijajipanga kimpangilio tu.
 
Wapo ila maisha yao ni mazuri kuliko wakenya wengi.
Hivi nyumba za manzese na tandale unazijua wewe [emoji23][emoji23][emoji23] au ni kwa sababu hutaki kuzoom
Kwa hivyo Dar hakuna watu wa maisha ya chini? Yani Dar kila mtu anaishi kwenye 'dream house'? Kama zile za tandale na Mazense ndio dream houses then wacha tu ikae
 
Ya Paris hayakuhusu buda...naukumbuke Paris kuna waafrica wengi sana mle, nnawaswas mlienda kugundua slum uko...
Mitaa duni Dar ipo lakin inauhafadhali sana ukilnganisha na yenu...Kumbuka Dar ni moja ya miji muhimu Africa tandale kuko vibaya lakini kibera hapafai kabisa
Hizo mitaa duni za Dar munaziitaje? Na hizo mitaa duni ziko afadhali kushinda hadi za Parisama hata Cairo? Dar ni moja ya miji nuhimu Africa kivipi sasa? 😂 😂 😂 Mbona hapa umeingiza ushabiki?
 
We umefika manzese sasa hv na Tandale??
Yani wanajenga nyumba nzuri kasoro hazijajipanga kimpangilio tu.
I don't need to get down there to know what's happening. We are living in a global village. The internet has made the world become so small. Mambo ya utandawazi ndio hayo
 
Yeah why don't you believe from the sources that we are not concerned with the greatest slums???
 
Nimeamini ww sio mzima.
Hata maana ya hiyo interchangeably hukulielewa.
Na hujui ni zip basic social services ww kijana.
Unakariri pasi na kuelewa.
Basic social services ni water services,Health services,education services na social wellbeing.
Unplanned settlements ni makazi ambayo hayajajengwa kimipango miji kiasi kuzalisha unplanned towns and cities.Haihusian na masuala ya social services kenge ww.
Slums ni maeneo ambayo yapo ktk hali duni ya maisha ambayo yamechanganya vitu vyote poverty,poor housing,poor well-being,unplanned settlements.
Hv vyote huzalisha slums.
Ndio maana nikakwambia slums zinaweza zikachangiwa na unplanned settlements lakin sio kila unplanned settlements ni slums.
Na ndio maana nikakutolea mfano kigamboni kuna good and quality housing lakin nyumba hzo zilizojengwa kwa ubora hazijajengwa kimpangilio ila ni nzuri kubwa na bora na wananchi wanapata huduma ZOTE ZA KIJAMII huwezi kuziita slums.
Elewa sio kila mzungu anaweza kukuelezea kitu kisa yeye mzungu wengine hawana logic ndio maana kukawekwa walimu na watabe au wabobezi.
Umesoma shule gani ww????
First, huwezi nifundisha kizungu. Ingekuwa unajua kizungu sana haungekuwa na shida ya kuelewa interchangeably ina maana gani. Secondly, unaposema nyumba za kigamboni haziijengwa kwa ubora unamaanisha nini? Ubora wa nyumba ni nini kwako? Hiyo ubora wa nyumba unayotaja ni moja ya vitu ambazo zinachangia eneo kuwa unplanned. Like I told you earlier, planning entails so many things
 
Back
Top Bottom