Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikai mwananyamala.
Hizo shilingi mbili ambazo huna, unategea jioni ifike ufate Wi-Fi uhuru park
Kumbe ulishahama Mwananyamala? Siku hizi unasukumka gurudumu ya LDC ukiwa maeneo yepi? Ulihamia Gongo la mboto, Tandale au Mazense?
Nilishawah kuhamia kwani,
Ldc ambayo ni better kuliko mldc kenya Hiyo tandale na manzese ni better kuliko mldc yenu
Better in which way wakati nusu yenu mnaishi below poverty line? Ni nini bora hapo bongo mbali na kupiga makofi na kusifia sisiemu?
 
Najua Unajua vizuri tu kuwa tukisema nyweee mnapiga magoti sema ni viburi tu mko navyo
Kumbe ulishahama Mwananyamala? Siku hizi unasukumka gurudumu ya LDC ukiwa maeneo yepi? Ulihamia Gongo la mboto, Tandale au Mazense?

Better in which way wakati nusu yenu mnaishi below poverty line? Ni nini bora hapo bongo mbali na kupiga makofi na kusifia sisiemu?
 
Na wewe mwenzetu sasa hivi uko pande zipi? Kibera, Mathare, Huruma, Kawangware? au una property zaidi ya moja kwenye haya maeneo?
Niko hapa Mwananyamala mbele ya dream house yako. Nimekuja kukujulia hali na kukupa pole zangu kutokana na hali ngumu ya uldc
 
Masikini wa Tanzania ana food, clothing, shelter etc meanwhile in kenya wacha niishie hapa

Kuna wakenya wanaishi kwenye maboksi, yaani literally. Unajua hao nyumbu waache ushabiki, kuna ile mbuzi inatukana unplanned settlements za Dar, na watu waishio humo wana nyumba za matofali na milango ya mbao na madirisha mazuri tu ila wakenya waishio kwenye sehemu hizohizo wanaoishi kwenye maboksi tena nyumba nyingine ni za mabati. Joto la October-december likija, hehehehehe........
 
Hatari sana

Jipe moyo. Hatuna maisha magumu kama uliyonayo wewe. Usidhani kuwa natumia free wifi ya university campus kama wewe. Unanuka utoto bado nafikiri
Rembesha ndani ya dream house pole pole kijana, wachana na stress mingi.
 
Inasikitisha sana, I feel sorry for you. Unajitia ukichaa ila hali yako unaifahamu. Usiige maisha na usimdhihaki mtu ambaye hujawahi hata kukutana naye uso kwa uso. Kijana wa kiafrika unakaa kupiga zogo kutoa maneno ya kitoto kwa watu usiowajua wakati vijana wenye akili wakifikiri kesho wanaanzisha miradi gani, kesho wazalishe kitu gani ili tu wapate pesa. Nimeishi na vijana wa kizungu na bado ninaishi nao na inasikitisha sana jinsi vijana wakiafrika kama wewe walivyojaa upuuzi vichwani mwao. Endelea kuwa masikini mpaka domo liwe kubwa kama pipa lakini, YOU CHOOSE YOUR OWN FATE.
 
Kuna wakenya wanaishi kwenye maboksi, yaani literally. Unajua hao nyumbu waache ushabiki, kuna ile mbuzi inatukana unplanned settlements za Dar, na watu waishio humo wana nyumba za matofali na milango ya mbao na madirisha mazuri tu ila wakenya waishio kwenye sehemu hizohizo wanaoishi kwenye maboksi tena nyumba nyingine ni za mabati. Joto la October-december likija, hehehehehe........
Stop sugarcoating it kijana wa tandale. Just call it a spade, not a big spoon

Screenshot_20190815-193146.png
PhotoGrid_1565886881578.jpg
 
Inasikitisha sana, I feel sorry for you. Unajitia ukichaa ila hali yako unaifahamu. Usiige maisha na usimdhihaki mtu ambaye hujawahi hata kukutana naye uso kwa uso. Kijana wa kiafrika unakaa kupiga zogo kutoa maneno ya kitoto kwa watu usiowajua wakati vijana wenye akili wakifikiri kesho wanaanzisha miradi gani, kesho wazalishe kitu gani ili tu wapate pesa. Nimeishi na vijana wa kizungu na bado ninaishi nao na inasikitisha sana jinsi vijana wakiafrika kama wewe walivyojaa upuuzi vichwani mwao. Endelea kuwa masikini mpaka domo liwe kubwa kama pipa lakini, YOU CHOOSE YOUR OWN FATE.
I just like how you get emotional when hit hard by facts, facts that you don't want to be told. All of a sudden, you've become a saint, a philanthropist, a motivational speaker, a doer of deeds etcetera etcetera. Blah blah blah!! I don't give a damn, go tell that to the birds of the air. I don't wanna know how many projects you are going to launch tomorrow, next week or even next year, keep that to yourself. It's none of my business coz it doesn't any value to me. We use dummy names here so why do you want me to reveal so much about myself and the things am planning to do? That's as stupid as it is laughable. Oooh,...they say empty debes make the most noise. Adios!
 
Yeah, that's what I thought, A f**king psycho! Eti I get emotional, Lemme tell you somethin' it doesn't hurt me to advice anyone. In fact, I have helped many people from students, to friends,to couples, to teachers, you name it who today, thank me because I dedicated my time to advice them. I am not forcing you to do as I want, It just hurts me to see a few of our own at the top! We hata ukinitukana, kazi kwako, mimi hata sihangaiki kwasababu hata kama sikufahamu bado nakuzidi pesa, akili, juhudi, hadi dhambi nakuzidi wewe. Jipe moyo kwa ujinga ulionao.
 
Keep your piece of advice to your self coz I think you need it more than I do. And for the record, I am not a student, I am not your friend (definitely am not) and I am not a teacher. So it's crystal clear I don't fall in the group of people you excell in offering pieces of advice to so please don't dedicate your time on me. Kama hungaiki nami, then why do you give the damn f**k about what I say here? About wewe kunizidi hizo vitu uluzotaja hapo juu, I still remind you that people use dummy names and accounts here so you don't have the slightest idea of who I am so I won't even go there
 
Back
Top Bottom