Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The three most profitable banks in Tanzania didn't even make a half of that profit combined. Lakini wanavopiga kelele hapa ndani!!!
Crdb inaweza kufadhili mradi wa trillions nyie zenu mkishakula mnajamba uvundo tu
 
Thanks for keeping your advice to yourself. I also hope you won't quote me again. Aggrrr!!
I definitely will quote you. If you feel annoyed, this is just the beginning. The worst is yet to come bambi.
#Reapwhatyousow
 
Adabu na heshma👇👇👇👇
A3157079-7564-40D4-8E5C-E88857A4066C.jpeg
F7B3BC47-3E07-461A-92D3-A93AE01B8838.jpeg
B092D4C9-852B-459A-B58F-4FD77E91230F.jpeg
E290AACF-662F-40E1-9523-6AAA3C846967.jpeg
 
Why???😀😀😀😀👇👇👇👇

Afadhali hii iliyokamilika its just the commissioning that is postponed . Hiyo port yenu ya Bagamoyo si ilikufa kabisa no construction ,nothing alafu unakuja kucheka yaliokamilisha zao?
 
Afadhali hii iliyokamilika its just the commissioning that is postponed . Hiyo port yenu ya Bagamoyo si ilikufa kabisa no construction ,nothing alafu unakuja kucheka yaliokamilisha zao?
Tanzania ina port zaidi ya nne bro kwanza unatakiwa uwe unaufahamu
Dar port
Mtwara port sahv ujenzi wa second bearth unaendelea
Tanga port
Zanzibar port

Na bagamoyo tumesmamisha bcz investors walikua na masharti magumu ghats y tukaamua kuganya expansion all port in tanzania zote ziko under expansion
 
Wanafahamu sema tu upumbavu umewajaa

You have five ports that can't match one port in Kenya 😂 😂 😂
 
Zote ziko under expansion hakuna port hata moja iliosahaulika sasa subiri matokeo chanya yafuatayo

Tulianza na tourism tushawakanyaga sasa tunakuja port tunawapumulia kichogoni😆😆😆👇👇👇👇

As long as mnasoma number, hapo hakuna shida
 
As long as mnasoma number, hapo hakuna shida
Tunawapumulia kichogoni hakuna sehemu mutatoka salama kwa sasa😆😆😆 tourism tumewafyeka, logistic tunawapumulia, airline tumewakalisha kuti kavu😅😅 kwenye medical tumewalaza chali, ukija kwenye ufisadi na rushwatunawanyea kichwani, food security ndio hata haisemeki sijui nani aliwalaani ukija kwenye security wise sijui wapi mulikwama🤗🤗🤗🤗🤗🤗 ukirudi kwenye slums mpaka mzungu anawaogopa alijua kibera ni national park😀😀😀
 
Back
Top Bottom