Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Will?????.…
Will?????.…
Wale wanaoingia stesheni kukata tiketi chini, kupanda juu halafu kushuka chini kupanda treni tena utawajua tu
Wale wanaoingia stesheni kukata tiketi chini, kupanda juu halafu kushuka chini kupanda treni tena utawajua tu
Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Labda ww utuoneshe jiwe la pinnacle na montave bila kusahau nairobi 88😆😆😆😆Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Tayari mkataba umeshasainiwa kati ya council na constructor na project ipo kwenye constructor recruitment stage.Hata jiwe moja halijasigezwa site unakuja kuota huku? Kenya si kuna malls every where au
Karibu sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umempa za uso kweli kweli.Tunawapumulia kichogoni hakuna sehemu mutatoka salama kwa sasa[emoji38][emoji38][emoji38] tourism tumewafyeka, logistic tunawapumulia, airline tumewakalisha kuti kavu[emoji28][emoji28] kwenye medical tumewalaza chali, ukija kwenye ufisadi na rushwatunawanyea kichwani, food security ndio hata haisemeki sijui nani aliwalaani ukija kwenye security wise sijui wapi mulikwama[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] ukirudi kwenye slums mpaka mzungu anawaogopa alijua kibera ni national park[emoji3][emoji3][emoji3]