Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hasira zikipanda unaokota picha google 😆😆😆😆😆😆😆😆 go on okota na za nigeria pia useme dar usisahau na za congo
Hata hii niliyotoa Congo inapendeza kweli

Screenshot_20190727-151231.png
 
Naona wadau wameipenda picha hatari, mnavyoirudia rudia sio poa yaan 😁😁😁

Ngoja niwape darsa kidogo kwenye hiyo picha
Foreground; Chang'ombe plus Nyerere road industrial area, Keko
Middle ground; Ilala, Karume, Mchikichini, Gerezani
Background; Kariakoo, CBD, Upanga, Mnazi Mmoja, Mchafukoge
FYI
The pic takes almost 13% of Dar 😀😀
Kuna zaidi ya 87% ya Dar yote kutimia haipo kwny hiyo pic
Manispaa ya Kinondoni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Ubungo yote haipo kwny picha, Manispaa ya Kigamboni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Temeke yote haipo kwny picha na Ilala hapo iko robo tuu ya Manispaa
Ukiambiwa Dar ni kubwa ni kwamba ukiondoa CBD hiyo unayoiona kwny picha kuna zaidi ya hapo mzee mama

Dar imejengwa mzee tembea uyaone, usikae kushikilia Manzese, Tandale, Mbagala, Buguruni, M/nyamala etc
apart from this the remaining Dar is slums
1564564406633.png
 
Hii picha na nyinginezo ulishakataa sio za Dar. Iweje leo picha ya Congo inakuuma hivyo?
Nioneshe slum hapo au hujui maana ya slum au umekosa slum 😆😆😆😆 yani ww uone slum alaf mzungu asione slum, ww na mzungu nani mjinga???🤣🤣🤣🤣
 
Nioneshe slum hapo au hujui maana ya slum au umekosa slum 😆😆😆😆 yani ww uone slum alaf mzungu asione slum, ww na mzungu nani mjinga???🤣🤣🤣🤣
Kwa sababu umepumbazwa na uzalendo za kijinga, huwezi kuona hizo ni slums. Unachokiona Wewe ni dream houses tu. Achana na ndoto za mchana
 
Kwa sababu umepumbazwa na uzalendo za kijinga, huwezi kuona hizo ni slums. Unachokiona Wewe ni dream houses tu. Achana na ndoto za mchana
Sio uzalendo ndio ukweli hua hamupendi 😆😆😆😆😆😆 onesha slum hapo umshindwa
 
Back
Top Bottom