Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They will show you a million photos of the three blue towers and Karioakoo but they will never show the real Dar.
Screenshot_20190730-231324.png
Screenshot_20190730-231647.png
Screenshot_20190730-231227.png
Screenshot_20190730-232044.png
Screenshot_20190730-231904.png
Screenshot_20190730-232901.png
Screenshot_20190730-232150.png
Screenshot_20190730-232044.png
 
Naona wadau wameipenda picha hatari, mnavyoirudia rudia sio poa yaan 😁😁😁

Ngoja niwape darsa kidogo kwenye hiyo picha
Foreground; Chang'ombe plus Nyerere road industrial area, Keko
Middle ground; Ilala, Karume, Mchikichini, Gerezani
Background; Kariakoo, CBD, Upanga, Mnazi Mmoja, Mchafukoge
FYI
The pic takes almost 13% of Dar 😀😀
Kuna zaidi ya 87% ya Dar yote kutimia haipo kwny hiyo pic
Manispaa ya Kinondoni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Ubungo yote haipo kwny picha, Manispaa ya Kigamboni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Temeke yote haipo kwny picha na Ilala hapo iko robo tuu ya Manispaa
Ukiambiwa Dar ni kubwa ni kwamba ukiondoa CBD hiyo unayoiona kwny picha kuna zaidi ya hapo mzee mama

Dar imejengwa mzee tembea uyaone, usikae kushikilia Manzese, Tandale, Mbagala, Buguruni, M/nyamala etc
 
Naona wadau wameipenda picha hatari, mnavyoirudia rudia sio poa yaan [emoji16][emoji16][emoji16]

Ngoja niwape darsa kidogo kwenye hiyo picha
Foreground; Chang'ombe plus Nyerere road industrial area, Keko
Middle ground; Ilala, Karume, Mchikichini, Gerezani
Background; Kariakoo, CBD, Upanga, Mnazi Mmoja, Mchafukoge
FYI
The pic takes almost 13% of Dar [emoji3][emoji3]
Kuna zaidi ya 87% ya Dar yote kutimia haipo kwny hiyo pic
Manispaa ya Kinondoni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Ubungo yote haipo kwny picha, Manispaa ya Kigamboni yote haipo kwny picha, Manispaa ya Temeke yote haipo kwny picha na Ilala hapo iko robo tuu ya Manispaa
Ukiambiwa Dar ni kubwa ni kwamba ukiondoa CBD hiyo unayoiona kwny picha kuna zaidi ya hapo mzee mama

Dar imejengwa mzee tembea uyaone, usikae kushikilia Manzese, Tandale, Mbagala, Buguruni, M/nyamala etc
Ndio maana tukawambia badala ya kupost picha nyingi tumieni hii kwa manufa yenu wenyewe ili msave bundle
tapatalk_1564283120213.jpeg
 
kuna mmoja alisema huruma sio slum😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇
FCC3B8AE-2E35-49DD-9AAA-C15EE5A290C9.jpeg
7723F51D-E380-4DE3-8EA0-913E8CE62FB4.jpeg
707597CA-89F0-410F-BAF8-56F7E6595A0B.jpeg
 
Such ignorance disgusts me. That's a cable stayed bridge and not a suspension bridge. Enlighten yourself with bridge design. Suspension bridges are generally more expensive something Danganyikans can't afford.
 
Duh povu la mwezi july😆😆😆😆
 
Such ignorance disgusts me. That's a cable stayed bridge and not a suspension bridge. Enlighten yourself with bridge design. Suspension bridges are generally more expensive something Danganyikans can't afford.
Malizeni upuuzi huu alafu muje hapa 😆😆😆😆😆👇👇👇👇

Hio akili uliotumia wewe iko wapi? Hio 'greatness' inapimwa kwa picha moja?
Ujinga wenu ni kufikiria kwamba ukubwa wa mji ndio ubora au maendeleo. NYC is almost the same size as Nairobi but a million times better than your glorified fishing village. Ndio maana nikasema mtumie akili na muendeleze mji wenu badala ya kupiga kifua na size yake. Size is nothing if it's not developed
 
Huo ni ujinga wako wewe. Mwenzio kapiga picha angle moja kazungumzia ukubwa wa mji. Kwa ujinga wako wa kuvamia bila kuelewa unatuletea habari za NY. Na nyie tumieni akili muendeleze Kibera iwe kama mnavyotamani iwe.
 
Back
Top Bottom