stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 36,929
- 36,078
duuWalifyekwa na Al Shabab zaidi ya askari 200 wa kenya.
duuWalifyekwa na Al Shabab zaidi ya askari 200 wa kenya.
in Kenya and the rest of the world, dwarfism is classified a disability. Legally and medically…Umelezwa hapo ni kwa mujibu wa sheria. Hao wote ni vijana waliomaliza form six, Kwa sheria za Tanzania lazima wapitie mafunzo ya kijeshi kabla ya kuanza kusoma University. Ufupi siyo disability.
hawa mbwa wanageuka! hata TATA walipewa the same!yule kapewa 30 years no tax and the port no charges
alafu kwel, kuna jamaa alikua anarecord online anasema stay away from bungomahawa mbwa wanageuka! hata TATA walipewa the same!
Jifunze kuhusu dunia. Style hiyo inayofanywa na Tanzania ni Israel Style. Nchi zinazofanya kama Tanzania ni:in Kenya and the rest of the world, dwarfism is classified a disability. Legally and medically…