sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hakuna cha maana hapa[emoji16]nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1165254
Hakuna cha maana hapa[emoji16]nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1165254
Unatuonesha uchafu bila aibu 😆😆😆Hakuna cha maana hapa[emoji16]View attachment 1166959
Hebu tuletee picha ya mbali ya Nairobi
Eti enhh ndio akili yako ilipoishia hapo au umezoea kukariri😆😆😆😆😆
Westy yenyewe ndio mmekata msitu juzi bado hakujaiva
Wakenya na data za kupika ili dunia ijue wapo juu kiutalii,na walioingia humo ni watalii daraja la pili 😂😂😂ndio maana Pesa kidogo ukilinganisha na Tanzania2m alaf munatemgeneza revenue chini ya 1b usd
Wakat tanzania 2018 imetengeneza revenue 2.4b usd umeshajua tofaut hapo😆😆😆😆😆😆😆
Maskini MLDC👇👇👇
[emoji16][emoji16]Hebu tuletee picha ya mbali ya Nairobi
Upanga naeza ifananisha na eneo ndogo la Westlands kama vile church road au eneo kama hili [emoji116][emoji116]Westy yenyewe ndio mmekata msitu juzi bado hakujaiva
Angalia east upanga ,Upanga iliendelea kabla ya westy ,Upanga kuna Muhimbili national hosp,Aghakan hosp,Regency hosp,Muhimbili university, Mzumbe university dar campus,Mall,bank zote,casino zote,high rise apartments kama zote,balozi kama zote,viwanja vya gambe kama vyote....Upanga kumetulia kuliko apo shambani westy View attachment 1167158
Three clear and distinct Central Business Districts. Nairobi for you.[emoji16][emoji16]View attachment 1167175
Hakuna mkenya anaeweza kuthubutu kutupia picha ya mbali ya nairobiHebu tuletee picha ya mbali ya Nairobi