Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL tulianza na kusafirisha minofu kaishia wapi?
Tukaanza safari za Chato kaishia wapi?
Tukaingia Entebbe kaishia wapi?
Tukaingia Harare na Lusaka kaishia wapi?
Tukakuruouka Hadi Oliver Tambo kaishia wapi?
Tumekurupuka kukata nyuzi Mumbai sijui tutaishi wapi?
Sasa naona tukimbilie kwenye Safari za huko mbala mwezi
Hiv wew ni mwanamke?
 
Madeni kwani kakopa? Ametenga fedha kwenye budget 2019-2020! Budget ya 2020-2021 another 3 aircraft!
Na hiyo hiyo budget ya 2019/2020 inayo madeni pia yaani budget deficit...hivyo ni kusema hizo ndege zimekopwa.Remember the 2017 seizure of your ATCL aircraft over debts?
 
Na hiyo hiyo budget ya 2019/2020 inayo madeni pia yaani budget deficit...hivyo ni kusema hizo ndege zimekopwa.Remember the 2017 seizure of your ATCL aircraft over debts?
Budget deficit ya Tanzania below 3% ni chini ya Kenya 5.7%!

1563538889302.png
 
Back
Top Bottom