Precision engineering yake si kitoto hata maji kwenye glasi hayachezi.Jamani wakenya walivyoona hiyo treni ya mkandarasi wakaanza kutucheka 😂 😂 🤣 🤣 wakidhani tunafanana nao lol. Wasubiri vitu vizito vinakuja.
Kamwele kasema zinakuja 5 zenye behewa nane, kichwa huku na huku...EMU Electrical Multiple Units watajibeba mwaka huuJamani wakenya walivyoona hiyo treni ya mkandarasi wakaanza kutucheka 😂 😂 🤣 🤣 wakidhani tunafanana nao lol. Wasubiri vitu vizito vinakuja.
Kumbe ferry disaster nilifkiri chakula
Mbna mambo madogo hayo...na wala haturingi...Wow ! a big standing ovation from JamiiForums fans too, Tanzanians are taking over the world music industry
Nyi jitieni uchizi muendelee kukopa, wenzenu kiongozi akiwa fisadi maisha yake yanakuwa matatani. So mikopo yao inafanya kazi kama ilivyopangwa.
Ushaskia ule msemo usemao ukiiga tembo akinya utapasuka msamba? utauelewa mchina atakavyowapeleka puta
Mbna mambo madogo hayo...na wala haturingi...
Sisi haturingi ila tunajivunia. Hatuna tabia za kitoto kama nyie mnaoamini kuwa vitu tunavyopost huwa tunaringa.
kama hukutaka kuhusika kwenye huu uzi then mbona meno yako yako hapa?Uliona mkenya yeyote aliyefungua uzi km huu...yani kw akili yenu mmejiona mmetusua..kumbe ndo mnaanza...
Sai nchi nzima mnakenua meno..kila blod huikosi
Wow ! a big standing ovation from JamiiForums fans too, Tanzanians are taking over the world music industry
Africa has solutions to her own problems but it has deliberately chosen to look for solutions elsewhereHe indeed contributed immensely. That attack is a valuable lesson though. We are still not dependent. We still rely on "external" forces to operate and to solve our problems. It saddens me a lot.
Kwa kuongeza milingoti ninyi ni hub ya east and Central Africa 💪View attachment 1148871View attachment 1148873View attachment 1148874View attachment 1148876View attachment 1148878View attachment 1148879View attachment 1148880View attachment 1148881View attachment 1148883View attachment 1148884View attachment 1148885View attachment 1148887View attachment 1148888View attachment 1148889View attachment 1148892View attachment 1148896View attachment 1148898
That is a gross generalization mateAfrica has solutions to her own problems but it has deliberately chosen to look for solutions elsewhere
Kumaanisha?That is a gross generalization mate
Just imagine eti huko ndio kwa wadosi kuko hivyo hivyo hivyo je kwa kajamba nani kutakuaje?