So hutaki zanzibar iwe tanzania😆😆😆 au hujui mombasa pia ni muungano???muungano hoyeeee....
Kenya ni one man army...kwanza vp yule mbunge aliyekamatwa nje ya nchi(zanzibar) na kuzuiliwa katika uhamiaji![]()




So hutaki zanzibar iwe tanzaniaau hujui mombasa pia ni muungano???
😆😆😆💉💉💉💉👇👇👇👇Bwahahaaaaa!!!muungano na wapi![]()




want to split...bwahaha...nafikiria utaleta watu wanataka muungano uvunjwe km wazanzibar






Page doesn't exist
English news from the Voice of America. VOA news provides coverage from around the world and learning English lessons from VOA Special English.www.voanews.com
Au hujui maana ya split😆😆😆 yaonesha muumgano wa tanzania unakuuma sana hii bendera ya wapi hebu niambie👇👇👇want to split...bwahaha...nafikiria utaleta watu wanataka muungano uvunjwe km wazanzibar
Hv nikuulize...rais wa mombasa alikuwa nani na ilipata uhuru lini mwana historia...![]()


















Au hujui maana ya splityaonesha muumgano wa tanzania unakuuma sana hii bendera ya wapi hebu niambie
View attachment 1137713
1964 muumgano ukapatikana ndio tanzania ikazaliwaBwahahaa!!hta honkong ilikuwa china na imejitenga...bt haimaanishi km hongkong haikuwa china...ila hili la zanzibar...mpka uhuru
View attachment 1137715View attachment 1137716
vipi ichoboy
vipi ichoboy






...asante sana kw kukubali km zanzibar na tz si nchi moja..bali ni muungano tu..


1964 muumgano ukapatikana ndio tanzania ikazaliwa
Tanganyika + zanzibar = tanzaniaView attachment 1137719




Tena tumepewa bure hakuna cha mkopo unajua kwanini??? Nenda usome history ya tanzania na china alaf utajua kwann wachina wako tayari kuipa tanzania pesa bila masharti tofaut na kenya
Kilichokuuma ni kwamba nyie hamujaambulia kitu mpaka sasa hvi![]()
Ni nchi moja au hujui kama tanzania imetokana na tanganyika na zanzibar tatizo lako hupendi kuona muungano uliodumu zaidi ya miaka 60 😆😆😆😆😆...asante sana kw kukubali km zanzibar na tz si nchi moja..bali ni muungano tu..
Ni sawa mtu aseme wales na england ni nchi moja kisa zote zipo united kingdom![]()
china kuipa pesa tanzania tena bure hio ni hiari ya wachina hatujawalazmisha ni mapenzi yao kwasababu wanakumbuka fadhila za nyerere juu yaoSi eti anawapenda...ni kawaida ya ldc kusaidiwa
Kisha eti mnakuja hapa kusema pesa za ndani...kumbe ni misaada ..
Ona ujinga mlioachiwa na kenyatta😆😆👇👇Ni nchi moja au hujui kama tanzania imetokana na tanganyika na zanzibar tatizo lako hupendi kuona muungano uliodumu zaidi ya miaka 60 😆😆😆😆😆
Na CCM ndio chama kinachotawala kote zanzibar na tanzania bara au hujui pia hilo😄😄😄😄




china kuipa pesa tanzania tena bure hio ni hiari ya wachina hatujawalazmisha ni mapenzi yao kwasababu wanakumbuka fadhila za nyerere juu yao
MLDC hii hapa pesa ya kulipa fidia kwa watu wenu hamuna



Ona ujinga mlioachiwa na kenyatta





Ni nchi moja au hujui kama tanzania imetokana na tanganyika na zanzibar tatizo lako hupendi kuona muungano uliodumu zaidi ya miaka 60
Na CCM ndio chama kinachotawala kote zanzibar na tanzania bara au hujui pia hilo![]()