Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Povuuuu.....umeelewa kilichoandikwa kwanza[emoji122][emoji122][emoji122]
Hapa ndipo mchina alipowakamua utumbo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Kawatandika kila kona

 
Bwahahaaaa....jiulize kwanini mnajiita united republic of tanzania...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni sawa na kusema UK ni nchi...wuhuhuuuu
Mbona unawasiwasi sana na tanzania vp muumgano unakumyima usingizi😆😆😆
 
Sasa si ni ujinga wao...sisi hku hatumuabudu rais...eti kila kitu kwenu rais...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana akaitwa rais maana yake kiongozi wa nchi, amiri jesh wa nchi ma ndio msemaji wa mwisho wa nchi 😆😆👏👏👏👏

Tatizo lenu munamchukia sana magu baada ya kuwakunja kwenye kila sector😆😆😆
 
Hawajaanza china pekeake...hata japan waliwapa donation ya tazara...bwahaha..

Hyo tweet yako wapi inasema kenya hawana uwezo wa kulipa fidia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But huwezi sikia tunapewa chakula hata siku moja 😆😆😆😆

Chakuskitisha ni kuona MLDC inapewa msaada wa chakula na UAE wakat nchi yao yote ni jangwa 😆😆😆😆
 
Ndio maana akaitwa rais maana yake kiongozi wa nchi, amiri jesh wa nchi ma ndio msemaji wa mwisho wa nchi [emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Tatizo lenu munamchukia sana magu baada ya kuwakunja kwenye kila sector[emoji38][emoji38][emoji38]
Wuhuhuuuu!!!
Asingelipewa donation ya tsh 125,000,000[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Napenda sana kukuona unakosa cha kuandika...manake najua dawa imeshaingia vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm hua unanifurahisha pale unapotapatapa kama mfamaji😆😆😆 chuki yote munamchukia magu kisa kawakunjia
 
But huwezi sikia tunapewa chakula hata siku moja [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Chakuskitisha ni kuona MLDC inapewa msaada wa chakula na UAE wakat nchi yao yote ni jangwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na hvo hvo bado tukitaka mahindi tunanua...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wuhuhuuuu!!!
Asingelipewa donation ya tsh 125,000,000[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Donation hio ni mapenzi yao wakitoa pesa ila inaskitisha kuskia MLDC inapewa msaada wa chakula almost kila mwaka 😆😆👇👇

 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]...asante sana kw kukubali km zanzibar na tz si nchi moja..bali ni muungano tu..

Ni sawa mtu aseme wales na England ni nchi moja kisa zote zipo united kingdom[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Gamora mambo ya Muungano yako above uelewa wa Wakenya,
Hamuwezi kuungana kikabila how you even debating on Union between Nations
 
Gap bado linazidi kuongezeka...mwambie aendelee kukunja
Gap ya nn yakupika GDP nimeskia mumefoji kuongeza thaman ya pesa yenu 30% maana yake chukua GDP muliopika toa 30% munaishia kwenye 65b usd😆😆😆😆 endeleeni kukaanga GDP wakat maji yanazidi unga
 
Kawaida ya baba...huaga hamtelekezi mtoto wake angali akiwa mdogo....hta km akiwa mtundu vipi
Donation hio ni mapenzi yao wakitoa pesa ila inaskitisha kuskia MLDC inapewa msaada wa chakula almost kila mwaka [emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]

Screenshot_20190624-234245_Opera%20Mini.jpeg
 
Gap ya nn yakupika GDP nimeskia mumefoji kuongeza thaman ya pesa yenu 30% maana yake chukua GDP muliopika toa 30% munaishia kwenye 65b usd[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] endeleeni kukaanga GDP wakat maji yanazidi unga
Na hao hao waliosema hvo hyo hesabu yako hawaitambui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mulitoa blanket na hakuna mtu aliwaba lakini cha ajabu ni kuona MLDC haina pesa ya kulisha wananchi wake wanaokufa kwa njaa kila mwaka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]

Hebu tazama MLDC
Santa sana..tuonyeshe ldc lini imelisha hata mtaa wacha nchi nzima[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom