Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shabiby ni kampuni kubwa sana na pia ana mabasi ya kila aina labda nikuoneshe ili uache kulia[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1135836View attachment 1135837View attachment 1135838View attachment 1135839View attachment 1135840View attachment 1135841View attachment 1135842
[emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_1561238703999.jpeg
FB_IMG_1561238731103.jpeg
FB_IMG_1561237219121.jpeg
FB_IMG_1561237303521.jpeg
FB_IMG_1561237156388.jpeg
FB_IMG_1561237148724.jpeg
FB_IMG_1561237316407.jpeg
FB_IMG_1561236285203.jpeg
FB_IMG_1561236456707.jpeg
FB_IMG_1561237097305.jpeg
FB_IMG_1561236237475.jpeg
FB_IMG_1561236250717.jpeg
FB_IMG_1561236219790.jpeg
FB_IMG_1561236229495.jpeg
FB_IMG_1561236116220.jpeg
FB_IMG_1561236108380.jpeg
FB_IMG_1561236089532.jpeg
FB_IMG_1561236068702.jpeg
FB_IMG_1561234503571.jpeg
FB_IMG_1561234475742.jpeg
 
Apart from The slum city of Nairobi,
Kwengineko Kenya yote ni Ufukara na Funza Njaa. Everybody knows.
Ulifananisha Bukoba na Kule Kwenye Njaa kali Tukana. Ukala za uso
Heheeeee...na wakati hukuamini kilichotokea....bwahahahaaa....

Naona turkana imekuchanganya akili
 
Vyuma vimekaza..bwahahaaa...another tembo mweupe

Kwa kweli huu ujinga umekuwa fasheni hauingii akilini kutumia bilions of money za walipakodi na mikopo eti kujengea stand huu ni ujuha,faida ya hayo na community stand ni nini Bora ingetengwa sehemu kila kampuni ijenge ofisi kama kuna ulazima ishu ya ushuru wahusika wanaweza weka control post popote wakachaji
 
Mchina aliwaweza kwakweli. Duniani tunafikiria namna ya kuepuka usumbufu, wao wanaongeza usumbufu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unapanda hivyo vipanya then ukifika kwenye terminal unapanda juu -> unashuka -> unaingia kwenye train, utadhani kuna mto katikati ya terminal
Heheeeee...vimekuumiza...bwahahaaaa
Free wi-fi..entertainment..pia kuna charging sockets...utaumia sana na wafanyibiashara wa kenya....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
👇👇👇👇👇💉💉💉
62CF310A-5959-432D-9015-0A942CB138CE.jpeg
D4727249-D3E8-4AB0-BDDD-47E85D321728.jpeg
90D5C3D7-40CB-4F59-916D-24F22FC97C21.jpeg
C6513F23-AECB-44FF-944C-3BDACC8163C1.jpeg
E2150873-7DA7-452B-AF73-70AE19FBD1E5.jpeg
E90D6B00-7B68-4710-9E26-21B5675F29F2.jpeg
9F58BA1E-168E-4349-B9A3-23D75E06F223.jpeg
B51CD15F-D968-452B-97A3-0C738D05B186.jpeg
359CEABA-43F8-4B94-8B80-70583D0A3915.jpeg
2379D46B-768B-4D23-86FE-9BA8330D4B4F.jpeg
94BDCB80-52B2-4C6A-A246-96179CCFF342.jpeg
7AD3650A-6B20-4877-8F76-758FAF0CAF25.jpeg
A8577317-67CD-4CCE-98E5-206C05D139D7.jpeg
AD99C428-57C7-40AC-8A7A-51F3BD2C2557.jpeg
01A41FB0-DC9F-4DE5-B4E6-A29BB631CF3F.jpeg
65122A9C-9850-493A-9005-6B6B98F05FDF.jpeg
96F1D7FE-6850-447C-9E74-C11F2940FF49.jpeg
3F869F9A-7CA0-4169-8689-69D2BE462B24.jpeg
78CDB2B5-3DFE-4A64-BAEA-3E813960AC67.jpeg
F27C1435-ED4A-4FBC-9D82-30F92B2CB9BD.jpeg
 
Kwa kweli huu ujinga umekuwa fasheni hauingii akilini kutumia bilions of money za walipakodi na mikopo eti kujengea stand huu ni ujuha,faida ya hayo na community stand ni nini Bora ingetengwa sehemu kila kampuni ijenge ofisi kama kuna ulazima ishu ya ushuru wahusika wanaweza weka control post popote wakachaji
Wapuuzi tu hawa...halafu wakulima wa korosho waliwarusha hela zao
 
Heheeeee...vimekuumiza...bwahahaaaa
Free wi-fi..entertainment..pia kuna charging sockets...utaumia sana na wafanyibiashara wa kenya....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sockets za kuchajia? unamaanisha kwenye treni hamna? inamaana kumbe unasafiri umbali mrefu sana mpaka kuifikia terminal? au unacharge dakika chache, unashuka n then unaenda kuendelea kucharge kwenye treni. Budaa huyo katumia akili kubwa sana, hao ndio wakenya wenye IQ kubwa kuliko wengine
 
Kwa kweli huu ujinga umekuwa fasheni hauingii akilini kutumia bilions of money za walipakodi na mikopo eti kujengea stand huu ni ujuha,faida ya hayo na community stand ni nini Bora ingetengwa sehemu kila kampuni ijenge ofisi kama kuna ulazima ishu ya ushuru wahusika wanaweza weka control post popote wakachaji
Kwanza utambue hakuna mkopo kwenye huo ujenzi alaf la pili nenda shule usome faida za kua na stage ya kisasa kama hio mbuzi wewe😆😆😆😆😆😆
 
Mbna unaogopa...baada ya mabasi ni reli,then angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa naona nimekukamata...lazima ulie
Buda kwa angani usifikirie maana kwenye ndege utaenda kutupostia za kuazima swala ambalo utatupotezea muda,na kwa airport hamna jipya zaidi ya jkia iliyojaa viraka.
Kuhusu treni kwanza jifunze kuwa na aibu maana ni sawa na kumringishia mwenzako mtumbwi kisa tayari upo majini wakati ndio anajiandaa kuingiza boti lake majini
 
Pumba tupu...bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]kula lamu kwanza...umelianzisha wewe..usilie kijana...sitaki maelezo hapa..[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lamu-Airport-Transfers.jpeg
Manda-airport-photo.jpeg
manda-airport-s-new-terminal.jpeg
 
Duh, nimejionea tofauti, Malori yaliyochongwa na proper Passenger vehicles . [emoji1474]
Ile kampeni ya kuondoa buses zenye chasis za roli ilisaidia kuondoa mentallity ya matajiri wa tz kuleta haya malori ya abiria, now they are thinking out of the box
 
Back
Top Bottom