ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Uchumi wa kenya uko kwenye makaratasi with 64% debt to GDP ratio ndio maana over 65% ya budget yenu yote inatumika kulipa madeni😆😆😆😆😆😆Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana