Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Eeeh mbukinya ni jina la mmiliki ,stands for mburu kinyanjui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii kweli mbukinya![]()
Eeeh mbukinya ni jina la mmiliki ,stands for mburu kinyanjui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii kweli mbukinya![]()
Wewe hata baiskeli humiliki halafu unaita vyombo vya usafiri taka?.Hizi ni nini ndugu hata aibu huna? Em Toa takataka zako hapa eboooo
Hujui kua 70%ya magari ya usafiri wa masafa marefu Tanzania bara yanatengezwa Kenya?Aisee hii midude ya kuchongesha inatia kinyaa shape zake na marangi yake ni low quality
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1135932View attachment 1135933View attachment 1135934View attachment 1135935View attachment 1135936View attachment 1135937View attachment 1135938View attachment 1135939View attachment 1135940View attachment 1135941View attachment 1135942View attachment 1135943View attachment 1135944View attachment 1135945View attachment 1135946View attachment 1135947View attachment 1135948View attachment 1135949View attachment 1135950
Haya sasa ndio mabus unaweza jivunia na ndio yako kuanzia Nakonde na nchi nyingi za SadcMkenya yoyote duniani aniletee bus kama hili nafunga account jamiiforum😆😆👇👇👇
Ni bus ambalo lilichezewa kombe la dunia 👇👇👇👇
View attachment 1135777View attachment 1135778View attachment 1135779View attachment 1135780View attachment 1135781View attachment 1135782
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1135974View attachment 1135975View attachment 1135976View attachment 1135977View attachment 1135978View attachment 1135979View attachment 1135981View attachment 1135982View attachment 1135983View attachment 1135984View attachment 1135985View attachment 1135986View attachment 1135987View attachment 1135988View attachment 1135989View attachment 1135990View attachment 1135991View attachment 1135992View attachment 1135994View attachment 1135995
Ah wap ilikuwa zamani aisee saivi wengi either wanatumia yutong, zongtong nk pia scania plus benz na gari za dar coach ambazo ni quality kuliko hayo malori yenuHujui kua 70%ya magari ya usafiri wa masafa marefu Tanzania bara yanatengezwa Kenya?
Aliekwambia nani???😆😆😆😆😆Hujui kua 70%ya magari ya usafiri wa masafa marefu Tanzania bara yanatengezwa Kenya?
Nani kakudanganya?Hujui kua 70%ya magari ya usafiri wa masafa marefu Tanzania bara yanatengezwa Kenya?
Mabasi kama haya yalikua tanatumika sana Tanzania miaka ya 90s na 2000s mwanzoni.Meza.View attachment 1135250View attachment 1135251View attachment 1135252View attachment 1135253View attachment 1135254View attachment 1135255View attachment 1135256View attachment 1135257View attachment 1135258View attachment 1135259View attachment 1135260View attachment 1135261View attachment 1135262View attachment 1135263
Mabus haya tunayaita yebo yebo Tz hayapo tena 😂😂😂😂😂 Hii kweli mbukinya![]()
Si ajabu wanatumia rangi ya kupaka vibanda vya magengeAisee hii midude ya kuchongesha inatia kinyaa shape zake na marangi yake ni low quality
so mbukinya inapaki kinyanyui nchini kunyaland, 🤣 🤣 🤣 mi naona vyote vitukoEeeh mbukinya ni jina la mmiliki ,stands for mburu kinyanjui.
Thubutu! ilikua zamaniHujui kua 70%ya magari ya usafiri wa masafa marefu Tanzania bara yanatengezwa Kenya?
Haya yalikuepo tanzania miaka ya tisini sahvi yapo vijijini huko kama daladala.Mabus haya tunayaita yebo yebo Tz hayapo tena [emoji23]
Hilo bus likiletwa Tanzania hakuna abiria atalipandaMabus haya tunayaita yebo yebo Tz hayapo tena 😂
Hamna hayo ,mna hayaMabus haya tunayaita yebo yebo Tz hayapo tena [emoji23]
Ukiona gari lolote Tanzania ambalo limetengezwa hivi ujue limetoka Kenya.Thubutu! ilikua zamani