Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha kuskitisha kq ina milioo ndege 3 tu😆😆😆😆😆 ina miaka zaidi ya 45 lakini air tanzania imefufuliwa 2yrs ago ina ndege 8 huoni ajabu hapo
Jamaa anataka aturingishie ndege ambazo sio zao, tena anajitapa kwelikweli 😀 😀 😀
 
Heheheee...unafikiria mm sina macho...shabiby ulituma hadi ukachoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shabiby ni kampuni kubwa sana na pia ana mabasi ya kila aina labda nikuoneshe ili uache kulia👇👇👇👇👇👇👇
1A5B6289-742F-4CB8-97CC-1571DF99996D.jpeg
1DD5D344-0199-4D8D-A206-2B9CD59B62E0.jpeg
A07F7081-F7E9-47B6-A552-F355B84C167A.jpeg
C5F6EA95-A6B2-458E-A056-2325F60653D9.jpeg
46F10E7A-A3A8-4381-83BA-FF967F08111A.jpeg
F538981D-2739-45F3-9075-FDE9DDE73B2E.jpeg
5FD137A6-A277-40C7-8049-C3337E53A4C4.jpeg
 
Sasa niwapeleke kwenye marine transportation nikawatoe uharo 😆😆😆
 
Hahahha miaka 50 ya shirika eti wanamiliki ndege 3 😆😆😆😆😆 wakat air tanzania imefufuliwa juzi ina ndege 8 brand new
Si ajabu hata hizo tatu hazifahamu ni zipi, mara ukute ni vile vipipa vidogo kuliko q400 😀 😀
 
Wale watanzania mnaotaka kutumia sgr...smart coach inakupeleka hadi katika station husika .....

Business minded people...napenda sana watu wa aina hii...unajitengezea fursa...duh!!!
FB_IMG_15612791275411946.jpeg
FB_IMG_15612792722248079.jpeg
FB_IMG_15612791609922407.jpeg
FB_IMG_15612794705809000.jpeg
 
Mandera nayo hyo...yani watanzania huaga mnaichukulia northern kenya poa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1133934View attachment 1133935View attachment 1133936View attachment 1133937View attachment 1133938View attachment 1133939
Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana
 
Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana

Lamu, Turkana, Masabit, Moyale kote huko njaa tupu na Ukame,
Watu wanakunywa mikojo ya Punda.
 
Back
Top Bottom