Naona mungiki mnafarijiananawaheshimu sana pia jirani zetu wacha wapuuzi wabishane tu.
Oya hilo ni likenya lenzako bongo hatuna vilaza wa na mungu atuepushie mbaliiWewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forum
Hiv wew unaongelea Bukoba unaifahamu au unaisikia Tu.au Kwa sababu ipo pembezoni mbali Sana na dar?Bwahahahaa!!!imekuuma kuona kenya kila county iko na referral hospital...kemu tuletee ya kagera tuione....mbna ugatuzi raha jaman...mpka turkana,mandera,tana river...kabla ugatuzi hzo county zilikuwa nyuma kishenzi...
Bila ya kuisahau lamu,kwale na zngnezo...
Bukoba vp nako
Hivi huyu mtu mkoa wa Kagera anaujua ? Au anaongea Tu.Nionyesheshe Hospitali ya Turkana, sio jina au chumba kimoja, onyesha jengo zima. Mlipofanya Ugatuzi, Hospitali zote za iliyokua mikoa mkaita jina la Referal Hospital. Onyesha referal Hospital ya county ya Kwale tuone, hamna kitu, wote wanakwenda Mombasa.
Nimekuletea za Kagera hebu tuletee walau moja huko turkana.Kwhyo referral ni mjengo sio vifaa angalau vya kukidhi mahitaji ya wanaotibiwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili swali mnalikwepaga Sana wakenya.Wapi Dar to Moro Kwanza juu haijakamilika? Hebu weka Dar to Kibaha tuone Kwanza...naona SGR ikigeuka kuwa Bagamoyo [emoji23][emoji23]
Kaitaba stadium Bukoba.Kanda ya ziwa wapo vizuri kisoka. Kagera sugar, alliance, mbao fc, biashara, etc
Huu nao ni uwanja..
Umeniletea...hahaaa...mi pia nayaona vizuri sana hayo maandishi...kemu nipe jina walau hta moja nika google mwenyewe..manake naona mjengo sijui ni clinic au nnNimekuletea za Kagera hebu tuletee walau moja huko turkana.
Majina mbona nimekupa mkuu?Umeniletea...hahaaa...mi pia nayaona vizuri sana hayo maandishi...kemu nipe jina walau hta moja nika google mwenyewe..manake naona mjengo sijui ni clinic au nn
Cartholic hospital...bwahahaaaMajina mbona nimekupa mkuu?
Hebu kagoogle kagondo hospital
Nasubiri hospital za turkana.
Halafu unataja maeneo ya tz bila kuyajua vzrView attachment 1133917
Turkana vip tunasubiriCartholic hospital...bwahahaaa
Usipanic bro...this is lodwar county referral hospital...cheki vifaa kwanza hvo na reception.kagera ni mtoto sana kw turkana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Turkana vip tunasubiri
Kijana...turkana usiichukilie poaUsipanic bro...this is lodwar county referral hospital...cheki vifaa kwanza hvo na reception.kagera ni mtoto sana kw turkana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1133923View attachment 1133924View attachment 1133925View attachment 1133926
Mandera nayo hyo...yani watanzania huaga mnaichukulia northern kenya poa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Turkana vip tunasubiri
Mbona unahama?tumesema turkana we unaleta Mandela kwenye wakimbizi.Mandera nayo hyo...yani watanzania huaga mnaichukulia northern kenya poa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1133934View attachment 1133935View attachment 1133936View attachment 1133937View attachment 1133938View attachment 1133939
Naona umekimbia...bwahahaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Turkana vip tunasubiri